Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,762
21,235
IMG_20240328_091803.jpg

Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu.

Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla.

Kwa muonekano huo wa gari hadi kukunjika bodi na vyuma vya hapo mbele (ngao), unaweza kuhisi ni spidi aina gani afisa usafirishaji alikuwa nayo.
 
View attachment 2946552
Imetokea jana huko mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu.

Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanga kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla.

Kwa muonekano huo wa gari hadi kukunjika bodi na vyuma, unaweza kuhisi ni spidi aina gani afisa usafirishaji alikuwa nayo.
apumzike salama ila hawa wapumbavu wanapenda pikipiki inaitwa sinoray 180 timing chain alooo zinapotea kama upepo kugonga speed 200 ni kawaida sasa hapo kwa gari kuharibika hivyo speed aliyokuwa nayo marehu sio ya kitoto...... boda sijui wapewe elimu gani kila siku wanakwenda kuzika wenzao ila bado wanakomaa na maspeed ya kijinga
 
Wengi mumemlaumu afisa usafirishaji na mkasahau kuhusu swala la site ya dereva wa hiyo gari😁😁😁. Munang’ang’ania spidi ya boda utafikiri hiyo gari ni jiwe. Nawakumbusha tu wanaoendesha hizo gari za kubeba watalii wanakimbia sana hasa wakiwa wanawafuata watalii.

R.I.P mpambanaji 🥹🥹🥹
N.b mimi sio afisa usafirishaji.
 
Back
Top Bottom