Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,304
- 5,569
Haya wakuu tangazo hilo hapo soma
NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu
Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts 😀😀😀😀 kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu.......
Nakusukia muziki unaotikisa hasa....hasa bass deep na zito spika angalau angalau kuanzia 10 inch kwenda juu.......