hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Jaman hii race ya wazungu ina mademu wakal jaman..tuachen kudanganyana..umbo sura shepu had mat*

    Mi naish huku,aisee...na nazunguka sana Schengen,,aisee hawa wenzetu na ubaguz wao ila wana watoto wakal jaman...yaan wana watoto wakal..nikisema mademu wakal hiv mnaelewa..na hiz nywele zao bazo dada zetu wanazipenda had wanazinunua kwa bei mbaya aisee.., Sasa naambiwa eastern europe huko ndo...
  2. crome20

    Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

    Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B. 4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho Karibu sana simu 0712815440
  4. Analogia Malenga

    Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  5. Analogia Malenga

    Enyi UTUMISHI, hii Ufasuaji ni nini?

    Nafasi za kazi kada ya Afya kwa sasa zimepitia ajira portal na sio TAMISEMI kama ilivyokuwa awali. Kuna kazi imeandika DAKTARI BINGWA UFASUAJI hii ni nini?
  6. Mr Why

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  8. Mtemi mpambalioto

    Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  9. Vien

    Kwa aina hii ya matangazo usishangae kuona hupati wateja

    Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM, Ameanza kwa mtiririko huu ∙ Supu ya Samaki ∙Choo cha kulipia ∙Chapati ∙maandazi ∙Wali + Pilau ∙Chips Karibuni sana, Katika hili tangazo lake kosa kubwa alilolifanya ni kuandika Choo cha kulipia katikati ya tangazo la chakula...
  10. Kipenzi Changu

    Hii ndio Value for Money ya kitita alichotumia Samia kupeleka wasaa Korea?

    Mpaka sasa tumefichwa ni bilioni ngapi zimetumika. Lakini najiuliza hii ndio value for money?
  11. haszu

    Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

    Eeh watu wanahela hapa mjini, Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini. Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking. Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits. Hii bar nitarudi tena kivingine.
  12. Vichekesho

    Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  13. Morning_star

    Wewe kama uliwahi kutumia hii chanuo alafu bado unajitafuta umeishafeli

    Je, ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
  14. kocha Nabi

    Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  15. BARD AI

    Hii picha inakupa kumbukumbu gani mdau?

    Mwaka 2018 kulitokea mambo ya ajabu sana kwenye suala la ukamataji Samaki wenye umbo dogo au samaki ambao hawajakomaa! Samaki hao wenye urefu chini ya sentimita 25 kutoka Ziwa Victoria walikamatwa katika mgahawa wa Lamba Catering Service. Ni kati ya kilo 100 za samaki waliokuwapo mgahawani hapo...
  16. Powell Gonzalez

    Hii ni kwa ajili ya wanaume 18+ under 25 years.

    Gonzalez nawafungulia code 3 kwa comment za mdau in a previous code 2. Hii ni kwa wanaume 18+ but under 25 years. 1. Usinywe pombe nothing bad like driving your mind in a crazy way. 2. If you can afford hakikisha umelipia gym or you exercise daily, lifting weights itafaa zaidi. 3. Tumia...
  17. Oscar Lyrics

    Mungu wetu ni Mungu wa rehema

    Tuombe, Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe, Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote, -Utusamehe makosa...
  18. M

    Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Tangu nizaliwe nimepitia changamoto ngumu ngumu ila hii ya sasa too much. Sasa naweza kusema hakuna jambo la kunipeleka kwa waganga au manabii fake

    Hello Hapo zamani Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja. Nimewahi kukosa mahali pa kulala. Nimewahi kulala porini peke yangu. Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji. Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5. N.k. N.k Baada ya miaka...
  20. BabaMorgan

    Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

    Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa.. Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
Back
Top Bottom