hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Nukuu za afya wiki hii

    Nukuu za Afya wiki hii.
  2. aka2030

    Kariako igawanywe ili hii migomo isije kutokea tena

    Vifaa vya ujenzi vikauzwe bunju Vifaa vya umeme kibamba Vifaa vya ndani mbagala simu ndio zibaki kariakoo Nguo gongolamboto Iwekwe order baada ya miez 3
  3. 1

    Clip hii inaukweli mwingi na mchungu kwetu, njooni tuusikilize

    Siongezi neno wala mimi si mkalimani === Alichozungumza kwenye video hiyo, ni kuhusu Africa kutoza kodi kubwa ambazo zinaua uwezekano wa maendeleo kwa kuwa zinaua hata uwekezaji. Suala hilo linaongeza umasikini na kufanya nchi kuwa tegemezi wa mikopo na misaada. Mzungumzaji huyo amesema hiyo...
  4. S

    kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    Wale jamaa wa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kasi

    wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo. Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi. Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
  6. nipo online

    Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

    Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
  7. Nyafwili

    Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  8. comte

    Hii ndiyo sababu Watanzania hatuandamani kama Wakenya- tunashirikishwa

  9. Mhafidhina07

    msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

    nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room. mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la...
  10. Ma Mshuza

    Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

    Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe...
  11. N

    Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani?

    Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani najikuta tu nakosa amani?
  12. M

    Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  13. N

    Kwangu hii ni Taasisi mpya institute of heavy equipment and technology

    Nijue tu Chuo hiki kiko wapi na kiko chini ya wizara gani inatoa course gani Kwa muda gani na wapi.
  14. Powell Gonzalez

    Wakali wa movies anayeijua hii movie atuambie

    Kama unaijua hii movie jina lake please itaje..
  15. GENTAMYCINE

    Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  16. BabaMorgan

    Kama una mipango ya kununua subwoofer basi usithubutu kununua hii subwoofer.

    From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima Ikabidi nirudishe dukani...
  17. F

    Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko? Mawazo yenu ni muhimu
  18. SteveMollel

    Movies nne kali za kucheki wiki hii

    1. TELL NO ONE. Ni miaka nane sasa imepita tangu dokta Alex alipompoteza mkewe, bi. Margot, kwa kuuawa kifo cha kikatili na kisha mwili wake ukatupwa karibu na makazi yao. Kwa kipindi chote hiko mpaka sasa, dokta amekuwa akiumia na hajapata kutulia kamwe. Bado anaomboleza msiba wa mpenzi...
  19. Bata batani

    Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  20. mahindi hayaoti mjini

    Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

    Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka Mfumo ovu bado upo, kuweni makini Povu ruksa
Back
Top Bottom