hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

    Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa...
  2. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaomba Support kwa Wananchi, lakini wao hawatoi support kwa Wananchi

    Wakuu Tunaishi kwenye nchi ambayo wasanii wanawaomba sana wananchi wawape support kwny muziki wao au kazi zao sanaa lakini wananchi hao hao wakipata shida kama kutekwa, kuonewa, kukamatwa na kuandamana hutokaa uwaone wasanii hao wakitetea wala kuwakingia kifua wananchi Tunaishi kwny nchi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  4. econonist

    JamiiForums Tanzania Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

    Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

    Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
  7. Brigadier Isaac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

    Habari zenu members wote was jamiiforum pia poleni na mahangaiko Mimi nina swali hasa kwa wadada kuhusu wanavyojisikia wanapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui Ila ndio hivyo mkaka ameamua kuja mpaka ulipo na kukuambia amevutiwa na wewe baada ya maongezi machache kutambulishana...
  8. tang'ana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  9. junior ssori

    JamiiForums Tanzania Hii kitaalam tunaitaje

  10. joseph_mbeya

    JamiiForums Tanzania Kuna aina hii ya marafiki vipi pia unao

    Inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja Kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada ya muda maisha yakatutenganisha na wao mfano mimi nipo zanzibar yeye yupo mbeya lakini unakuta...
  11. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  12. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Eti, hii kauli ilimuhusu nani??

    Mimi,wewe au yule?? Kauli yenyewe hii hapa! Mbwa wenyewe hawa hapa! Wenyewe waliambiwa hivi: Swali: Ni mimi,wewe,au yule? Unajiona hapo??
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii taadhari itakusaidia: Ubongo wako hauwezi kutofautisha kama unaigiza unatania au uko siriasi

    Hii ni moja ya taarifa sahihi ambayo unapaswa kuitumia kwenye maisha.. Ukipenda kuigiza unakufakufa, au mchawi au kufanya drama za mizaha ubongo wako hauwezi kutofautisha na pale unapokuwa siriasi. Ndio maana Mungu anakemea mizaha. Zaburi 1:1 Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha...
  14. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wako talented sana

    Hii ni talent nyingine iliyopo Tanzania. Tuisupport kwa hali na mali. Huu ni mfano tu wa talents nyingi zinazopatikana katika nchi yetu. All the best. Nionyeshe Njia https://youtu.be/3mbpuIq7Nx0?si=nPosM5gXcZUXkAnZ Sijui Kuhusu Kesho https://youtu.be/eLEB5_q74lc?si=IQsKFOW0uJWNt6zo
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kama umeielewa hii picha ndani ya sec 3, haraka mrudie Mungu wako!

  16. Noel france

    JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  17. Mzee wa kusawazisha

    JamiiForums Tanzania Dalali anataka nimpe elf 10tsh hii imekaaje

    Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake. Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
  18. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Hii inayoitwa Tume ya ajira PSRC ni uhuni na kupoteza wakati na fedha

    Habari Hivi kuna kipi cha maana wanachofanya kama sio kupoteza wakati na fedha za walipa kadi. Zamani watumishi walipangiwa vituo tena wakitokea vyuoni mojakwamoja. Kinachowafanya wawashe AC, wavae tai wakae roundtable wakijifanya wanaakili nyingi ni kipi? Alama anazopata mtunakiwa chuo vipi...
  19. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kupitia picha hii?

    Asee 🤔 Tupia neno moja kwa kuangalia picha hii.. kuna mengi sana yamejificha hapo.
  20. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Kamata hii!

    Wakati wa kununua ng'ombe, usinunue kijijini kwako. Kwa sababu siku moja ng’ombe akienda mtoni kutafuta maji au kunywa maji, na mwenye ng’ombe wa zamani aliyekuuzia akimuona anaweza kumuelekeza aende nyumbani kwake, atamkamua kisha atamuachia ili arudi kwako. Hatimae Baadaye utakapojaribu...
Back
Top Bottom