Mbatia akiona cha moto Busokelo, kadi za NCCR zachomwa moto huku hela zake zikitafunwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,003
Naambiwa, Jimbo la Busokelo wilaya ya Rungwe, vijana wamendelea kumkusanyia Mbat ( 619 X 640 ).jpg

Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .

Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !
 
Wana-CHADEMA katika jimbo la Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamemfanyia kitu mbaya mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi baada ya kumlaghai kujiunga na NCCR-Mageuzi na kupewa kadi lkn baada ya kuondoka tu wakazipeleka kwenye ofisi za CHADEMA.

Na wameenda mbali kwa kusema kuwa hawapo tayari kuuza utu wao kwa tamaa ya fedha na kuahidi kuwa wao ni wanachama makini wa CHADEMA.

Naona mbwembwe za Mbatia zinaanza kutumbukia nyongo.
Screenshot_20200612-102411.jpeg
 
Chadema Mbona mnaiogopa sana NCCR Mageuzi
Msiogope mmeshakua ni lazima mpate mdogo wenu hata km ulaji wenu utawekwa rehani
 
View attachment 1476014

Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .

Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !
Shemeji zangu Wanyaki bana... mna mambo!

ndiyo nini sasa kumuumbua shosti ake na jiwe?
 
K
View attachment 1476014

Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .

Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !

Kama walipewa kadi na pesa basi waonyeshe picha ya kadi na pesa na mtu aliekuwa anawapa hiyo pesa ili tujue kama kweli wanaongea ukweli na si uongo
 
View attachment 1476014

Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .

Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !

Inawezekana nyie chadema ndo mmewapa pesa ili warudi au mmenunua hizo kadi ili mchome kudanganya wananchi
 
Hivi huo muungano wa vyama vya upinzani mnaotangaza kuutaka kwenye media bado MNA dhamira nao?
 
Uwezo wa Mbatio kushawishi ni mdogo sana. Nimemsikiliza muda mrefu Bungeni, ni sentensi moja tuu huwa nasikia akilirudiarudia kuwa "Taifa hili ndiyo mama yetu na baba yetu sote". Ninafahamu ni mtu mwenye asili ya vurugu,siyo mstaarabu tangu akiwa Chuo Kikuu. Watu wa aina hii ni kujiepusha nao sana. Wenzake walijijenga muda mrefu, leo anaanza kuwaharibia.
 
Back
Top Bottom