hela

  1. JamiiForums Tanzania Unaweza kuchukua hela hapa?

  2. JamiiForums Tanzania CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

    Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo. Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi: Kesi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

    Imagine mkeo au demu wako kakukimbia halafu baada ya muda flani anakutumia msg ya kukuomba hela je utampa? Ukimpa kwanini? Usipompa kwanini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

    Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rwanda vipi tena? Hela inawaondolea heshima kiasi hiki

    Rwanda imeingia mkataba wa poundi takribani milioni 150 ili ipokee wakimbizi haramu watakaodakwa nchini UK. Mpango aina hii muasisi ni Macron wa France. Yéyé aliingia mkataba na Libya. Pamoja na kuhamishiwa wakimbizi haramu Toka France Kwenda Libya mkataba wao pia unaitaka mamlaka ya Libya...
  6. JamiiForums Tanzania Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

    Habari wakuu! Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

    Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika aina hii ya utapeli?

    Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka. Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa askari wa JWTZ asimulia alivyofungwa jela miaka tisa kwa kusinginziwa Tukio la ujambazi Ubungo 2006

  10. JamiiForums Tanzania Tazama hela wanazopata Timu Zilizofuzu robo fainali Kombe za Shirikisho

  11. JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

    Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

    Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

    Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako. Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
  15. JamiiForums Tanzania Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

    Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
  17. JamiiForums Tanzania Epuka sana kuwa na marafiki ambao wakiona hela wanapagawa

    Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja. Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania Njoo tuelekezane jinsi ya kupiga hela Burundi

    Ndugu zangu kuna biashara nataka kujaribu kufanya ya kutoa bidhaa Kariakoo kupeleka Burundi ila katika pitapita, nimegundua changamoto zifuatazo. 1. Mabadiko ya thamani ya pesa ya Burundi 2. Ugumu wa kubadilisha fedha. Yaani ukiwa na faranga ni ngumu sana kuirudisha kuwa Shilingi. 3. Suala la...
  19. JamiiForums Tanzania Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

    Sasa ni zamu ya pemba.
  20. JamiiForums Tanzania Mwijaku kuhusu H Baba kujitoa Konde Gang, mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzako, utamlipaje?

    Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo yake: “Mimi siwezi kukaa naomba hela, mke wangu atanionaje, mwanaume unakaa unaomba hela, nina afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…