Hela Rahisi kupata pasipo jasho ni hizi hapa

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS. Ndani ya twenty years. Bado watu wanasema kuwa trading or investment in stocks ni scam.

Yaani ngoja niendelee kuibiwa ama kupoteza muda, ama kufanya kazi za mtelezo za kukaa tu Kama kukaaa ndiko kunakonifanya napata hela ngoja nizidi kukaa na kuwa mvivu na kusubiria hela za kupakua aka download.

Jamani investment and trading sio rahisi Kama tunavyoaaminishwa na walioshindwa maana anakuvuta ili akupige hela za training, weekend course, akuuzie kitabu or PDF file, signals, ama account management afu profit 30/70.

Anayekuvutia akupe hivyo kashindwa trading/investment so alternative ni kuchukua hela za watu, ama anayo Ib contract na broker kuwa ukileta vichwa kadhaa bana mie nakupa pip kadhaa kila kichwa so ni kazi yako kuwafundisha na kuwashawishi kujiunga namie Kama broker. kashindwa kuwa patient. Na kuwa mvumilivu ndo sifa kuu ya hizi Mambo. Sie twapenda kesho tu tayari umekuwa millionaire.

Don't give up your dream no matter what.
Nothing worth come easy.
 
Jul 8, 2020
35
95
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 july. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na

Fact mkuu
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Fact mkuu
Mfano mzuri bro wangu akinunua hisa za nmb mwaka 2006 za laki tatu tu. Mpaka saivi anazo.mjda huo hisa ilikuwa ni sh 600 saivi hisa ni 1800 muda huu tunaongea hapa. Anadai kila mwaka hakosi 60k na huku amekaa tu Mana ni mvivu hataki kufanya kazi,Kama benki ikienda poa ikakua hii mpaka kizazi Cha kumi watazikuta.

So aliyenunua za 3M anapata 600k, aliyenunua za 30M anapata 6M kwa mwaka na huku amekaa tu Mana ni wavivu hao kufany kazi.
Njoo aliyenunua 300M anapata 60M as gawio. Hizi Mambo ni Tamu Sana sema zinahitaji hela ndefu na ujue forecast as weatherman anavyocheki kuwa kesho Kuna mvua kutokana na ishu Fulani yaani unakuwa Kama mchawi fulani kwa hapa bongo tunavyopenda kuita.

Ila hizi Mambo ni ngumu Sana balaa yaani sio kirahisi watu wanavyoaminishwa.
Ni Kama unasoma bachelor tatu kwa mpigo like md , Engineering na laws so sio easy wanavyojazana majority Ila ni very simple yaani simple sawa na kumsukuma mlevi.

Soma Soma Soma live your dream no matter what.
If you want to be greater you've to do greater things
 
aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
2,614
2,000
Mbona hakuna hela rahisi hapo mkuu?
Naona hizo hela zinaliwa na wenye hela, ukiwa na hela za ziada huna pa kuziweka ndipo unazirusha huko.
Ila mimi mwenye hela inayotegemea kuzunguka ili nipate hela ya dagaa ni ngumu kuingia huko.
 
Nunua hisa wakati ule Ipo.
Nje huko kwa wenzetu Kuna watu wamekaa tu hawafanyi kazi Ila kazi Yao ni kula gawio ambalo their forefathers walipanda.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Trading hauhitaji hela nyingi kuianza sema Sasa elimu yake ndo sio ya kitoto.
Ni Kama unaambiwa nashindwa kusema.
Read read read read read read read read read read read read practice practice practice perfect practice again again again again again and again
 
Mapank

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,421
2,000
Pesa nyingine zipo huku, kama una pesa lakini. Risk 0%
1631824722399.png

Mfano mzuri bro wangu akinunua hisa za nmb mwaka 2006 za laki tatu tu. Mpaka saivi anazo.mjda huo hisa ilikuwa ni sh 600 saivi hisa ni 1800 muda huu tunaongea hapa. Anadai kila mwaka hakosi 60k na huku amekaa tu Mana ni mvivu hataki kufanya kazi,Kama benki ikienda poa ikakua hii mpaka kizazi Cha kumi watazikuta.
So aliyenunua za 3M anapata 600k, aliyenunua za 30M anapata 6M kwa mwaka na huku amekaa tu Mana ni wavivu hao kufany kazi.
Njoo aliyenunua 300M anapata 60M as gawio. Hizi Mambo ni Tamu Sana sema zinahitaji hela ndefu na ujue forecast as weatherman anavyocheki kuwa kesho Kuna mvua kutokana na ishu Fulani yaani unakuwa Kama mchawi fulani kwa hapa bongo tunavyopenda kuita.

Ila hizi Mambo ni ngumu Sana balaa yaani sio kirahisi watu wanavyoaminishwa.
Ni Kama unasoma bachelor tatu kwa mpigo like md , Engineering na laws so sio easy wanavyojazana majority Ila ni very simple yaani simple sawa na kumsukuma mlevi.
Soma Soma Soma live your dream no matter what.
If you want to be greater you've to do greater things
 
Mapank

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,421
2,000
Nimeipenda hii mkuu. 50M unapata kitu kwa mwaka like 4.625M kwa mwaka. Sijui ni nyumba gani ya kukulipa hivi. Ila toa perse ya inflation.
Afu 10% Withholding tax
Hapo 50M inakupa 4m kwa miezi mitatu, toa 10% ya Jamhuri unachukua 3.6m sawa na 1.2m kwa kila mwezi bila kelele. Ukiwa na 100M unachukua 8M kwa miezi mitatu toa 10% ya Jamhuri unabika 7.2M sawa na 2.4M kwa kila mwezi, yaani unalala na kuamka saa sita mchana
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Screenshot_20210916-235414.png

Air France hisa zinashuka Sana,saivi korona pia tafuta sababu zingine why kampuni inalegalega .keep on watching and making follow up. Ikianza kukaa mkao unanyanyuka niyo to the moon.hapa unatredi Ila ukita uwekeze hisa real kabisa inawezekana. Trading una speculation for price changes you own nothing real on hand
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Hata hisa ni long term investment
Ila hisa ni nzuri kuliko bond.
Hisa lazima uwe na elimu ya uwekezAji otherwise umtumie certified financial advisor aka cfa huko nje wako kabisa. Akushauri stocks za kununua.
Ila bonds hazihitaji elimu kubwa Sana.
Mfano jiwe angewepo ma ungejua Sera ya nchi mtu unanunua hisa za air Tanzania later huko after 50yrs tuna ndege Kama Emirates or klm Kama sio air Lufthansa.
Check mfano hizo za Amazon now twenty years,Ila bond bado Sana zitasubiri kwa stocks or kwa trading.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,896
2,000
Screenshot_20210917-000348.png

RollRoyce hakuna na celebraties wanainunua yaani inashuka Sana.
Diamond angenunua Mia angalau angetingisha graph Ila Sasa watalaamu wanadai kuwa ni moja afu used from Snoppy
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom