Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao.

FB_IMG_16313708616484671.jpg
 
Ni kufanya vitu kwa purpose tu mkuu,si kufanya kitu kuridhisha watu ambao wengi wao hawapo interested na maisha yetu kabisa.
 
Isipokuwa kama kuna mikutano muhimu na nyeti.

Kuvaa si "issue" kwa hawa jamaa khasa huyo mwenye utajiri zaidi ya dola milioni 140 kwenye akaunti benki.

Pia umri wachangia ukiwa umepata pesa muonekano huo ni namna fulani ya kuonyesha hupendi makuu.

Ila wazungu wengine huonekana kuvaa kishamba lakini kwao nguo au mavazi ya ajabuajabu ni mitindo na ila bei kali.

Zipo nguo au mavazi yenye kuonekana yamechanika lakini hiyo ni fashion.

Tupige kazi tusake pesa.
 
Kuna level ukifikia kuna vitu vinakuwa sio issue...mafukara na wanyonge ndio wanapenda sana kujitutumua kuionyesha jamii nao wamo lakini ukweli uko palepale kuna level ukifikia huwezi kuumiza kichwa na vitu vidogo vidogo...
 
Back
Top Bottom