Mwanaume kuitegemea hela ya mwanamke ni ukahaba mamboleo

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Salam ya kazi gani tuna mambo serious ya kujadili, twende streight kwa mada husika.

Duniani kuna mambo mengi ya kushangaza ila pia kuna watu wa kushangaza. Kuna mambo ya kusikitika kwayo na kuna watu wa kuwasikitikia.

Kuna wanaume wanaishi maisha ya huzuni na sonona kuu ila wasijue huzuni yao inatoka wapi, kuna wanaume wanaishi kwa fedhea kwa makosa ya wazi wanayoyafanya na kuyarudia tena na tena.

Kila kitu duniani kipo kwa sababu, kuna sababu kwa kuwepo wanyama, wadudu, mimea na binadamu ondoa kimoja na mfumo mzima wa ikolojia utaharibika. kuna sababu ya kuwepo kwa usiku na mchana, jifanye mjuaji kwa kutolala usiku japo kwa siku 3 tu ndio utajua haujui.

Kadhalika kuna sababu ya kuwepo mwanaume na mwanamke. Yani kuwepo Adam na Eva na wala sio Adam na Juma. Mwanamke apaswa kumkamilisha mwanaume na sio kua copy au clone ya mwanaume.

Our differences are the source of beauty and purpose of life. Kuna maana gani kama wote tuko sawa. Lazima ijulikane bayana utofauti wa mwanaume na mwanamke sio wa hahati mbaya na ni muhimu by design na majukumu ni tofauti kuendana na utofauti wao.

Ebu kwanza tujadili kwa uchache mantiki ya "utofauti" Je kitatokea nini kama utatumia spana kusongea ugali au kama utatumia mwiko kufunga nut ?! Itatokea nini kama utatumia mkaa kwenye gari yako badala ya petrol na kutumia petroli
kama mafuta ya kupikia ?!

Kama majibu ni uharibifu na kutofanikisha kusudio tarajiwa basi pia jitihada zozote za kumfanya mwanamke kua sawa au mbadalatwa mwanaume zitapelekea uharibifu. Kila kitu kipo kwa ajili ya jukumu lake kutokana na utofauti wake.

Mwanaume mwenye mawazo ya "kusaidiwa" maisha na mwanamke ni mwanaume mpumbavu asiyejua kusudi la yeye kua mwanaume.

Kuna wale watakaokujatna kusema oooh ulimwengu umebadilika oooh sayansi na utandawazi, hebu nipe break je ulimwengu ulivyobadilika sasa wanawake wameota mboo ?! Mwanamke ni mwanamke mwanaume ni mwanaume na hakuna cha kubadili asili yao.

Unaweza kuniambia kuniambia kwanini manyonyo alipewa mwanamke peke yake na mwanaume hakupewa ?! Jibu ni ili mwanamke alee watoto na mwanaume akatafute ili aje awahudumie anayenyonya na anaye nyonyeshwa. Sasa wajinga wa "ulimwengu umebadilika bla bla blah" je siku hizi manyonyo wanayo wanawake na wanaume katika ulimwengu wenu "uliobadilika" !??

By default mwanaume ni provider na mwanamke ni taker, receiver simple kama hivyo. Enyi wanaume mario kina Uchebe type and the like, kama mwiko usivyoweza kufungua na kufunga screw ndivyo kamwe mwanamke hata ajitahidi vipi kamwe hawezi kua provider na ukilazimisha kula kihela cha mwanamke kitakutokea puani siku moja. Jiandae kuishi kwa fedhea kuu kuna mwanadada hapa jf aliwahi kusema "pesa ya mwanamke imefungwa sabuwufa"

Kuna kundi kubwa la wanaume wa kileo wenye kuwaza kwa mtindo wa kustaajabisha "natafuta mwanamke wa kusaidiana maisha" huu mtazamo ni wakijinga na unawagharimu wanaume wengi sana. Yani kwao wanaona kuoa kama njia ya kupunguza ukali wa maisha. Mwisho wa siku wanakuja kuishi maisha ya kudharauliwa, kudhihakiwa na fedhea kuu toka kwa "wake" wao walio tarajiwa "kuwasaidia maisha"

Mwanaume kutegemea msaada wa mwanamke ni ukahaba dhahiri na mwanamke kijifanya kama mwanaume superwoman ni uhayawani kua dume jike hakuta kupatia furaha ewe mwanamke wa haki sama 50/50 mwanamke aliumbwa kuhudumiwa na sio kutafuta. Mwiko by design ni wakupikia na sio kufungulia screw.

Wanawake wengi wanaishi kama misukule baada ya kujifanya wanaharakati ya usawa na mwisho wanaishia kua wapweke na mihela yao, wana mali ila wanaishi kama mazombie hawana furaha kwa upweke na hata wakipata mwanaume sio high value men hapana wanapata vikina Uchebe type.

Furaha ya mwanaume ni kutatua changamoto, kutoa msaada, kuhudumia na ndio kusudi la mwanaume, mwanamke furaha yake iko katika kuhudumiwa, kutunzwa na kupendwa huku yeye akilea. Chochote nje ya hapo hakiwezi kumletea mwanamke furaha ni kujilisha upepo na mwisho wake ni sonona, majuto, upweke na uharibifu.
 
Mkuu kwa muktadha huu ni wa ndoa maana aliyetuumba na majukumu yetu yana akisiwa barabara katika ndoa
Ila mkuu kwenye maisha ya ndoa huwezi ukasema utakuwa unatoa huduma kwa asilimia 💯 kuna mahala mwanamke atakusaidia tu anaweza asikuambie na akafanya kwa sababu mkishakuwa wanandoa mnakuwa mwili mmoja na mnasaidiana kulea familia
Mkuu kwa muktadha huu ni wa ndoa maana aliyetuumba na majukumu yetu yana akisiwa barabara katika ndoa
 
Ila mkuu kwenye maisha ya ndoa huwezi ukasema utakuwa unatoa huduma kwa asilimia 💯 kuna mahala mwanamke atakusaidia tu anaweza asikuambie na akafanya kwa sababu mkishakuwa wanandoa mnakuwa mwili mmoja na mnasaidiana kulea familia
Kuna jambo hujanielewa mkuu, kuna tofauti kati ya mwanamke kutoa msaada na mwanaume kutafuta kuoatmwanamke atakae mpa msaada.

Hakika mwanamke aweza kumsaidia mwanaume kwa mambo kadhaa ila sio mwanaume anaoa ili asaidiwe. Kuna jamaa alikua mpaka anauliza "yule mwanamke anafanya kazi gani nimuoe anisaidie maisha" huu ndio ujinga naoupinga hapa
 
Salam ya kazi gani tuna mambo serious ya kujadili, twende streight kwa mada husika.

Duniani kuna mambo mengi ya kushangaza ila pia kuna watu wa kushangaza. Kuna mambo ya kusikitika kwayo na kuna watu wa kuwasikitikia.

Kuna wanaume wanaishi maisha ya huzuni na sonona kuu ila wasijue huzuni yao inatoka wapi, kuna wanaume wanaishi
Hivi Mungu alimuumba Mwanamke kumsaidia Mwanaume kufanya nini?

Embu tuanzie hapo. Au alimuumba Mwanake kumuongezea mwanaume shida juu ya shida??!!
 
Back
Top Bottom