hela

  1. JamiiForums Tanzania Tafuta hela, kutafuta taarifa za watu ni umaskini

    Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena. Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na uuheshimu. Muda unaourumia kwa umbea, majungu, na uzandiki , utumie kuzalisha mali na kuboresha maisha...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi hawa wamepiga hela sana 2022

    Kwema ndugu zangu Watanzania? Leo sina mengi zaidi ya kuwapa list yangu hapa ya Viongozi waliopiga hela nyingi kwa mwaka huu. Najua wote hapa mna akili timamu sitawaambia wamepiga vipi hela ila najua kwa kufungua akili zenu mtajiongeza. 1- January Makamba: Waziri wa Nishati baada...
  3. JamiiForums Tanzania Hela ya Iran yapoteza thamani huku maandamano yakiwa pale pale

    Hela ya Iran, Rial, haijawahi kuanguka kiasi hiki, huku maandamo yakiendelea ya kupinga mauaji yanayofanywa na maaskari wa serikali wanaomlinda "mungu" wa waislamu... Iran’s currency fell to a record low against the dollar on Sunday, with nationwide anti-government protests now in their third...
  4. JamiiForums Tanzania Nifundisheni misemo mipya ya kukwepea vizinga(kuombwa Hela Hovyo😅😅)

    Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela. Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂 Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
  5. JamiiForums Tanzania Huu msemo wa Tafuta Hela . Unawahusu KE, na ME

    Mwanamke Jobless na mwenye harakati zake thamani Yao kwa Ground hazifanani. So uwa nachekaga hawa KE wanavyojiwekaga Nyuma katika mapambano . Demu mwenye Maisha mazuri hata Kama ana sura mbaya wanaume lazima wamuwinde . So Demu mwenye mkwanja usitegemee thamani yake ikafanana na mtu ambaye...
  6. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga: Tumewapa hela na point wamechukua

    Hii sio habari mpya kabisa. Ni jambo linalofahamika. Ila tu kwa siku ya jana imetokea utapeli. Mtoa rushwa kalizwa. Wakati mwingine Uto mkiona hali kama ya jana, kwenye dakika ya 80 kamateni mpira kisha kapteni akahoji mbona mnaenda kinyume na bahasha?
  7. JamiiForums Tanzania Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

    Pesa, noti za Tanzania zina printiwa Ujerumani. Nchi mbili tu Afrika Mashariki ndo zinachapa fedha nchini mwao ( Kenya na Congo), pia ni nchi tisa tu kiujumla Afrika ndio zinachapa fedha zao ndani ya nchi zao. Chanzo: DW Nchi za afrika na chapa za fedha
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu tutafte hela, huyu dingi anakula mali safi, anaendesha Range Rover.

    Mzee anasukuma hii mali safi kabisa.
  10. JamiiForums Tanzania Hili ndio eneo linalopigwa hela ndefu pale RITA

    1. Ku reprint vyeti. 2. Vyeti vilivyokosewa. Nadhani kila cheti kitachokosewa kina dau lake refu sana. Bila shaka lile dustbin la vyeti vilivyokosewa ukilitandika from Dar laweza kufika hadi Zimbabwe na kurudi. Huu mchongo ni wa miaka na miaka no more no less.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Shujaa wetu wamuache apige hela za matangazo, Januari aende kambini

    Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi. Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko anapoenda watampiga mizinga sana. Yote kwa yote, ufanyike mpango namba zake za simu ziwekwe na chimbo...
  12. JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki kwa wakati

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite. Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
  13. JamiiForums Tanzania Kijana aliyesaidia kuokoa abiria ajali ya Precision Air asipewe hela

    Nimeona mkono wa Pongezi kutoka kwa RC Chalamila kwa ushupavu wa kijana mmoja aliyepiga kasia na kuingia ndani ya maji na kufungua mlango jambo lililosadia kuokoa abiria 24. Ni jambo zuri, USHAURI wangu, huyo kijana aingizwe katika jeshi kitengo cha uokozi wa majini. Itakuwa ni kumbukumbu nzuri...
  14. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Hela mliyompa 'Mtu' wenu aifikishe kwa 'Refa' wa Leo ili mshinde 'nyingi' ameifikisha kweli?

    Kilichonifanya GENTAMYCINE niulize hili ni kwamba Gari yake ina miezi Mitatu sasa ni Mbovu ila leo iko Mtaani anapiga nayo Misele na Rangi kaibadilisha pia. Pia kuna Viwanja Vinauzwa huko Chanika cha Kushangaza kanipigia anasema Kesho Alhamisi nimsindikize akanunue Vitatu. Na sijui ni kwanini...
  15. JamiiForums Tanzania siasa ni dili ,hawagombei ili washike dola! wanagombea wapate hela!

    Utaona wakati wa kampeni wagombea watamiminika kutoka kusikojulikana! hata waliokimbia nchi watarudi, kwa nini? Kwa sababu kwenye kampeni kuna ulaji mkubwa, sisi oya oya! ndio tunakuwa wapiga makelele, lakini hawapo sirias na kile wanatuaminisha! Wapata wafadhili lukuki wakati huo !watu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  17. JamiiForums Tanzania Mume wa dada ni yule ambaye Hana hela .

    Ukiona unaitwa mume wa dada fahamu kuwa wanakuchukulia poa yaani huna hela. Masikini wanaongoza kwa dharau tangu Dunia kuumbwa kwake na wanaongoza kuita watu majina ya Ajabu mara tolu mara n.k
  18. JamiiForums Tanzania Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  19. JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wenye mapenzi na sisi ni mama zetu waliyotuzaa tu

    Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja. Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu kuna ugumu gani, najiuliza hivi ningekua na uwezo kifedha angenikaushia? Bora angekuwa mpenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…