Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli.
Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi.
Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale...
Sasa ni wazi kila mtu anakula kulingana na urefu wa Kamba yake.
Askari wa usalama barabarani eneo la Bomang’ombe kuelekea daraja la kikavu wamekuwa wakikwapua fedha za maderava bila uoga wa aibu.
Wamekuwa wakiendeleza tabia mbovu na mbaya kama wale jamaa waliofungua Account China.
Ukifika...
Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule...
===================
Attorney General Merrick Garland said Friday that he had authorized the United States to begin using seized Russian money to aid Ukraine, according...
Hello.
Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum?
Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa.
Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara.
Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea...
Wakuu mko vyedi najua,
Baada ya vifurushi kuwa patashida, mwaka jana November nilijiunga TIgo Post paid. Nililipia mwezi wa 11 lakini mpaka leo sijaunganishwa.
Wakala wao ananiambia zinashunghulikiwa kila siku. Mara aniambie nimeshaunganishwa wakati mimi sioni upande wangu. Kiukweli tigo...
Nimeambiwa ni tokeo la Kisaikolojia hivyo nami GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni ( Comments ) zenu nielimike zaidi na ikiwezekana hata Nishibe kabisa kwani hapa nina Njaa hatari.
Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
Uraia pacha unazidi kuinemeesha Kenya, Wakenya wanapiga hela huko na kuzituma balaa, yaani wamepitiliza kila aina nyingine ya mapato ya nchi...
Kenya is now earning more foreign exchange from diaspora remittances than each of its major exports – coffee, tea and horticulture – in spite of...
N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka
Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
Vikwazo vimeanza kukaza balaa, Warusi watazidi kupokea haya mapigo kisa kumuachia mtu mmoja aiharibu mother Russia.....
The value of the ruble tumbled sharply against the U.S. dollar Wednesday on signs that the latest wave of sanctions by Western countries are beginning to impact Russia’s...
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
Natumai ni wazima na sikukuu imeenda poa kwenu.
Moja Kwa moja kwenye mada,unapotafuta mwenza either Kwa kuoa au ile sogea tukae lengo ni kuukacha ukapela na kupata msaidizi.
Inatokea maisha yanakua vizuri tu mwanaume una uwezo wa kulisha familia na ABC zingn hazipigi chenga.
Lakini katika...
Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi.
Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
Salaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine?
Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.