Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

big dreamer

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
398
1,059
Habari wakuu!

Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta

Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya mji(kijijin kidogo) mwaka 2006 taratibu tabia ikaanza kubadilika (kipindi hcho mkiwa form 2 mnawaonea form 1 tulikuwa tunaita kwata,vijana wa siku hz hawajui kwata) bas tukafanya mtiani wa form 2 tukarud nyumban (nikiwa likizo mshua alikuwa mkali zaidi ya simba na hataki ujinga,kwahyo nkiwa om nilikuwa mpole yan kama sio mimi ninae tunaga nikiwa shule....

Bas ukafika mwaka 2007 matokeo ya fm2 yakatoka nilifaulu ingawa kwa ufaulu mdogo sana nyumban walinisema sana lakin nikawatia moyo f3 nitajitahidi watafurahi bas mzee akanipa hela ya ada nusu term plus ya hostel plus matumiz plus vitu vingine (kipind hicho shule yetu tulikuwa hatuingz ada benk) mzee akanambia lete kaptula yako yenye mfuko wa kutosha hz hela,nikampa akaweka zile ela alafu akashona ule mfuko kwa uzi wa mkono kias kwamba kibaka hawez kunichomoa zile pesa alafu akanambia nivae kwa ndan ile kaptule alafu ndo nivae suruali bas nikafanya hvyo na nakumbuka jumla ya pesa yote ilikuwa kama laki 6 na ushee hz,nikafika skuli salama,hyo hostel sio ya shule bas kufika tu patron alikuwa sharp sana akadai pesa yao nikampatia laki 2 yao maisha yakaendelea...bas narafiki zangu wakaripoti shule tukakutana sasa rafiki zangu wengi wao walikuwa wakitokea kwenye maisha bora,wamekuja na pamba kali majins ya fashen,american boots og zile ndo zipo kwenye chat balaa,raba za airforce adidas,sniker kali na wamekuja na simence na NOKIA TORCH na wengne cm flan zilikuwa na camera(ambapo knd hcho ukiwa na cm yenye camera shulen bas ni cm kali balaa unaweza ukang'oa dem kisa tu unacm kali)
dah nikijiangalia mi ninanguo kali chache tu tena nilizonunuliwa x mass na mwaka mpya tu (ndo kosa lilipoanzia) basi wiki ya kulipa ada ikaanza kidume nikakausha mfukon ninakama laki 4 na ushee natembea nazo tu kila siku ikafika february wakaanza kurudisha nyumbam ambao hawajalipa ada bas nikaona nikapunguze makali shulen ,nikapeleka laki 1 nikamwambia mhasibu baba kampa dereva wa bas ameniletea hii kwanza kasema nyngne ataleta (ada ilikuwa lak 3.5 Kwa muhula ,700k@year) bas baada ya zile sound wakaniruhusu kwenda darasan

Hapo ndio nikawa bos sasa maana nikabakiwa na laki 3 (ambayo kwa miaka ile ilikuwa nyng na ukizitangatia ni mwanafunz ukipewa elfu 10 ya matumiz hyo unatumia miez 3) bas lile mob letu tulikuwa watu kama wa 5 wao walikuwa ni watoro balaa bas nami taratibu nikaanza kuwa mtolo wa shule taratibu wakanifundisha kunywa pombe,sigara hadi bangi tukawa tunavuta,,,na nikaanza kupga pamba sio mchezo nikanunua na sim kwa mwanafunz bas kipind hcho tukaitwa ma tozi nyangema mademi sio mchezo hasa hasa wanakijiji
na wanafunz wenzetu,kuna mama m1 alikuwa anatengeneza mvinyo
Bas sisi ndo tulikuwa wateja wake tukienda na elfu 5 lazma tulewe sana,ulanzi chimbo zote tulizijua..

ikafika mwez wa tano karibia na mitahan na ada nishakula karibia yote kidume nikikaa peke yangu na waza hv hapa nikirud nyumban yule mzee(baba) kisa ada maana yule mzee hata akimleta fund ujenz kampgia plasta ukuta wake kama fund kafanya tofaut na alivyosema bas hakawii kukunjana mashat kifupi mzee alikuwa mtata,,basi kila nikiwaza nakosa majibu huku nikitetemeka,,,

Ikajaplan kichwan nikasema hapa lazma nitoke shule kwa 7bu ya kufukuzwa (suspend) kuliko kisa cha ada
sasa ikatokea siku mwalimu wakawa wanatafuta wanafunz watolo kwa vijiwe ambavyo wameambiwa na wanafunzi basi wakaja kwenye chimbo letu ilikuwa ambush flan dah tuliwa sukuma walimu pale wote tukasepa kusikojulikana siku ya pili wakatangaza wanafunz wote tulikutwa pale turipoti ofisin kama tunajipenda bas baadh ya tuliokuwa nao wakaripot bas tukabak mamafia kama wa4 hivi tukasema sisi haturipoti hata iweje bas baada ya siku 2 mkuu wa shule akatangaza ametufukuza shule.,,, basi kila mtu akasepa kwao na barua yake kila mtu akisema nimeongea na mama amesema ananitafutia shule wakat mi nawaza hapo ntampga vipi sound mzee mkorofi yule dah lakn kwa upande flan nikasema plan yangu imeenda vzuri coz natoka shule kwa skendo ya kufukuzwa na sio kula ada

Nikafika om nikakutana na bimkubwa nikasema ngoja nijikaze kiume nimwambie ni kamwambia nimefukuzwa shule barua hii hapa ndan ya barua waliandika kisa chakufukuzwa ni utoro na utovu wa nidhamu,,,mama hakuwa mkali sana kama kawaida yao hakasema tu mbona hawajawahi kutuita bas inaonekana ni mara ya kwanza ndo wamekufukuza! Nikasema ndio mama(moyon nasema bimkubwa hvyo hyo muelekeze na mzee) bas jion mzee alivyorud kikakoo kikaanza mzee pga sound haelewi, mama akamwelekeza 'mbona hawajawah kutuita shulen' itakuwa kosa lake la kwanza na ndio wamemfukuza bas mzee akatoa jibu la mwisho tu 'shule si umeshndwa,karibu mtaani' hyo ilikuwa mwez wa 5 bas nikasota mtaani/nyumban sio mchezo mpaka mwez wa 10

Mzee akanambia nenda shule ukaombe uomisho/matokeo ya form 2 nikutafutie shule ya day hapa mjin bas nikapanda bas nikaenda shule huku moyon nikisema nikikumbushwa ada yao itakuwaje?

Bas nilivyofika shule kwa nikamkuta mhasibu mwngne nikasema afadhar na kwel Mungu akanisaidia bana moja kwa moja nikaingia ofisi ya taaluma,mtaaluma akanambia nisubiri nnje ananishughulikia aliniuliza tu wew ulifukuzwa nikamwambia ndio akasema tu poa,bas baada ya lisaa hivi akanita akanipa tu nyaraka zangu nikasepa huku namshukuru Mungu limepita maana yule mzee angeambia na ada nimekula angenimaliza kabisa

Bas nikarudi hom mzee akanitafutia shule ya day ilii anisimamie vizuri

kwahyo mwaka unaofuata nikarudia tena form 3 aise nilibadilika sana kitabia Mungu akanisaidia matokeo ya 4m 4 nikapata division ii,ingawa nilipenda sana nisome scienc lakn kila nikijaribu ile 4m 3 nilikuwa naishndwa kwasababu nilikuwa na msingi mbovu wa kule nilikotoka

Kwahyo mpaka leo hii wazazi hawajui kama nilikulaga ada kipnd kile,na hata walimu na hata wanafunz wenzangu pia hawakujua mpaka leo hii

Somo la historia yangu hii ni tuwafuatilie vizuri /kwa karibu watoto wetu hasa wanaosoma
 
Hongera kwa ku chenji tabia
 
Summary plz,, wewe mkongwe humu jamvini,, unajua kila kitu kuwa nyuzi ndefu zimepigwa marufuku.
 
Story yako kama yangu , mimi nimesoma hapahapa dar nikiwa form 2 nilipewa hela ya ada laki 5 (500000) kipindi hicho nilikua sijaamia boarding nilikua nasoma day , asee makundi mabaya siku tumefungua shule tuu nikakutana na wadau wangu tukashauriana tusiende shule tukacheze game (playstation) kama unavyojua mkiwa wengi kwenye game kwenye laki nikasema ngoja nichomoe elfu 10 nitailudisha tumecheza game mpaka jioni nikaludi home nyumbani wakaniuliza vipi ada umepeleka nikajibu ndio kumbe mzigo ninao mfukoni, Siku ya pili hivyohivyo tukaenda tena playstation nikachomoa tena 10k mpka hapo nimebakiwa 480K ,week nzima mimi na kundi langu kazi yetu ilikua kucheza magema,kula mida ya jioni tunaludi home ,nyumbani wakiuliza mbona shule hawakupi risit natunga majibu ya uongo siku zinaenda, mchezo ukaenda hivyo mpka siku najikuta nimebakiwa na laki 3 nikanunua na vitu vya kijinga baada ya week kadhaa sina hata 100 mfukoni.
Mtiti ukaanza nyumbani wanataka risit kutoka kwa muhasibu au waje shuleni Siku hiyo sina ile wala lile nipo shule nashangaa mzee huyu hapa namuona anaingia administration office moyo unaenda mbio natamani ardhi ipasuke dunia nzima tuzame dakika sio nyingi namuona mwanafunzi anakuja kutoka ofisini anakuja upande wa darasa letu nikajua tuu hapa mimi nakuja kuitwa na kweli nikaitwa ofisini naenda huku natetemeka . Uzuri au bahati yangu ile shule ilikua haina utaratibu mzuri unaweza ukaja na hela unamkuta mkuu wa shule ndo anakusanya hizo hela alafu hata majina haandiki yeye mwenyew alikua anasema kichwa chake kama computer anakumbuka kila kitu. Nilivyofika ofisini nikamkuta mkuu wa shule amekaa na mzee , nikaulizwa hela ya ada iko wapi maana jina lako halipo kwenye kitabu cha watu waliolipa faster bila kukupesa macho wala kujikuna nikasema pesa yote nilikupa wewe mkuu hukumbuki ??? Mkuu akabaki ametoa macho anauliza ulinipa lini faster kichwani nikatengeneza Scenario kwamba nilimkuta anapokea hela za wanafunzi wa form 1 na mimi nikampa za kwangu akaniambia baadae nije kuchukua risit baadae nikaja sikumkuta tangu siku niliyompa hela nimekua mtu wa kufuatilia risit lakini sijapewa mpaka sasa , mkuu wa shule jicho limemtoka anajaribu kuikumbuka hugo Scenario lakini haiji kichwani badae akakubali akasema inawezekana ulinipa ila sikuandika Jina lako akaniambia basi wewe nenda darasani ngoja nimalizane na mzee . Mzee akapesa risit ya shilling 500K issue yangu ikaisha namna hiyo
 
Nilikula ada ya advance sijawai ulizwa risiti toka stand one cos nilisoma private nilikuwa napeleka school fee wenyewe, nilivyotafuna tu ada narudi likizo mzee anataka risiti kitu ambacho hajawai uliza nilishangaa kinyama

Mungu saidia tatizo likawa limeisha bila mzee kujua wala skuli sikulipa hadi na maliza ila ni story ndefu kidogo
 
Story yako kama yangu , mimi nimesoma hapahapa dar nikiwa form 2 nilipewa hela ya ada laki 5 (500000) kipindi hicho nilikua sijaamia boarding nilikua nasoma day , asee makundi mabaya siku tumefungua shule tuu nikakutana na wadau wangu tukashauriana tusiende shule tukacheze game (playstation) kama unavyojua mkiwa wengi kwenye game kwenye laki nikasema ngoja nichomoe elfu 10 nitailudisha tumecheza game mpaka jioni nikaludi home nyumbani wakaniuliza vipi ada umepeleka nikajibu ndio kumbe mzigo ninao mfukoni, Siku ya pili hivyohivyo tukaenda tena playstation nikachomoa tena 10k mpka hapo nimebakiwa 480K ,week nzima mimi na kundi langu kazi yetu ilikua kucheza magema,kula mida ya jioni tunaludi home ,nyumbani wakiuliza mbona shule hawakupi risit natunga majibu ya uongo siku zinaenda, mchezo ukaenda hivyo mpka siku najikuta nimebakiwa na laki 3 nikanunua na vitu vya kijinga baada ya week kadhaa sina hata 100 mfukoni.
Mtiti ukaanza nyumbani wanataka risit kutoka kwa muhasibu au waje shuleni Siku hiyo sina ile wala lile nipo shule nashangaa mzee huyu hapa namuona anaingia administration office moyo unaenda mbio natamani ardhi ipasuke dunia nzima tuzame dakika sio nyingi namuona mwanafunzi anakuja kutoka ofisini anakuja upande wa darasa letu nikajua tuu hapa mimi nakuja kuitwa na kweli nikaitwa ofisini naenda huku natetemeka . Uzuri au bahati yangu ile shule ilikua haina utaratibu mzuri unaweza ukaja na hela unamkuta mkuu wa shule ndo anakusanya hizo hela alafu hata majina haandiki yeye mwenyew alikua anasema kichwa chake kama computer anakumbuka kila kitu. Nilivyofika ofisini nikamkuta mkuu wa shule amekaa na mzee , nikaulizwa hela ya ada iko wapi maana jina lako halipo kwenye kitabu cha watu waliolipa faster bila kukupesa macho wala kujikuna nikasema pesa yote nilikupa wewe mkuu hukumbuki ??? Mkuu akabaki ametoa macho anauliza ulinipa lini faster kichwani nikatengeneza Scenario kwamba nilimkuta anapokea hela za wanafunzi wa form 1 na mimi nikampa za kwangu akaniambia baadae nije kuchukua risit baadae nikaja sikumkuta tangu siku niliyompa hela nimekua mtu wa kufuatilia risit lakini sijapewa mpaka sasa , mkuu wa shule jicho limemtoka anajaribu kuikumbuka hugo Scenario lakini haiji kichwani badae akakubali akasema inawezekana ulinipa ila sikuandika Jina lako akaniambia basi wewe nenda darasani ngoja nimalizane na mzee . Mzee akapesa risit ya shilling 500K issue yangu ikaisha namna hiyo
mimi nilimsingizia mkuu wa shule kama wewe, hadi leo hii sijapewa living certificate.
 
Mimi ada za kumaliza kila level nilizila na kubaki na leaving certificate wakati wa maafari maana tulikuwa tunagaiwa na kuzirudisha baada sherehe. Then baadae nafoji saini ya mkuu wa shule nachukua cheti. Hii nilifanya kwa o level na A level. Siyo jambo zuri kusema ukweli.
 
Ada na sadaka ni tamu sana
Asikwambie mtu.

Kipindi nipo school lilitokea zali nikapata ufadhili wa ada mwaka mzima, sikumwambia mtu yeyote nyumbani. Ilipofika January nikadai ada kama kawaida, mzee wangu aka deposit ada ya mwaka mzima 1,256,000. Ukiweka pocket money na balance kidogo iliyokuwepo kwenye A/C yangu ikazidi 1.5M Tshs, then Mimi ndo nikalipie kwenye a/c ya shule( walipoishi wazazi hapakuwepo na tawi la bank ambayo shule yetu ilitumia kwa malipo ya ada)
Nilikuwa day schoolar naishi home na dogo wa kiume anayenifuata kuzaliwa, wazazi pamoja na lastborn wote waliishii mkoa mwingine kikazi. Ule mwaka nilikula bata sana.

Kutokana na jinsi nilivyo perform pamoja na sifa nzuri walimu walizokuwa wakiziwasilisha kwa wazazi, wazee wangu walishawishika kumpeleka mdogo wetu wa mwisho wa kike shule ile ile boarding. Niliishi kwa mashaka maana nilihisi lazima ningesanukiwa coz pale shuleni kuna namna ya mtu kujua nani aliyewahi kufadhiliwa ada.

Baada ya miaka miwili ya wasiwasi uvumilivu ukanishinda, nikampigia mzee simu kumweleza kilichowahi kutokea na kumuomba msamaha, mzee wangu akanisamehe kwa moyo mmoja. Akanitaka nimweleze Bi'mkubwa na kumuomba msamaha, nikafanya hivyo na noma ikaisha.
Kupitia hilo tukio nilijifunza kwamba ni kheri kukiri na kutubu makosa mapema kabla hujashtukiwa.
 
Huh hongera
 
Story yako kama yangu , mimi nimesoma hapahapa dar nikiwa form 2 nilipewa hela ya ada laki 5 (500000) kipindi hicho nilikua sijaamia boarding nilikua nasoma day , asee makundi mabaya siku tumefungua shule tuu nikakutana na wadau wangu tukashauriana tusiende shule tukacheze game (playstation) kama unavyojua mkiwa wengi kwenye game kwenye laki nikasema ngoja nichomoe elfu 10 nitailudisha tumecheza game mpaka jioni nikaludi home nyumbani wakaniuliza vipi ada umepeleka nikajibu ndio kumbe mzigo ninao mfukoni, Siku ya pili hivyohivyo tukaenda tena playstation nikachomoa tena 10k mpka hapo nimebakiwa 480K ,week nzima mimi na kundi langu kazi yetu ilikua kucheza magema,kula mida ya jioni tunaludi home ,nyumbani wakiuliza mbona shule hawakupi risit natunga majibu ya uongo siku zinaenda, mchezo ukaenda hivyo mpka siku najikuta nimebakiwa na laki 3 nikanunua na vitu vya kijinga baada ya week kadhaa sina hata 100 mfukoni.
Mtiti ukaanza nyumbani wanataka risit kutoka kwa muhasibu au waje shuleni Siku hiyo sina ile wala lile nipo shule nashangaa mzee huyu hapa namuona anaingia administration office moyo unaenda mbio natamani ardhi ipasuke dunia nzima tuzame dakika sio nyingi namuona mwanafunzi anakuja kutoka ofisini anakuja upande wa darasa letu nikajua tuu hapa mimi nakuja kuitwa na kweli nikaitwa ofisini naenda huku natetemeka . Uzuri au bahati yangu ile shule ilikua haina utaratibu mzuri unaweza ukaja na hela unamkuta mkuu wa shule ndo anakusanya hizo hela alafu hata majina haandiki yeye mwenyew alikua anasema kichwa chake kama computer anakumbuka kila kitu. Nilivyofika ofisini nikamkuta mkuu wa shule amekaa na mzee , nikaulizwa hela ya ada iko wapi maana jina lako halipo kwenye kitabu cha watu waliolipa faster bila kukupesa macho wala kujikuna nikasema pesa yote nilikupa wewe mkuu hukumbuki ??? Mkuu akabaki ametoa macho anauliza ulinipa lini faster kichwani nikatengeneza Scenario kwamba nilimkuta anapokea hela za wanafunzi wa form 1 na mimi nikampa za kwangu akaniambia baadae nije kuchukua risit baadae nikaja sikumkuta tangu siku niliyompa hela nimekua mtu wa kufuatilia risit lakini sijapewa mpaka sasa , mkuu wa shule jicho limemtoka anajaribu kuikumbuka hugo Scenario lakini haiji kichwani badae akakubali akasema inawezekana ulinipa ila sikuandika Jina lako akaniambia basi wewe nenda darasani ngoja nimalizane na mzee . Mzee akapesa risit ya shilling 500K issue yangu ikaisha namna hiyo
Daah
 
Back
Top Bottom