heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Happy birthday John Wegesa Heche

    MUDA, HAKIMU ASIYEPOKEA RUSHWA Na Emily Mwakilembe Mwanadamu anaweza kujenga ukuta wa uongo, lakini muda huufanya uchakazwe na upepo wa ukweli. Anaweza kununua sifa kwa fedha, lakini hawezi kununua heshima ya historia. Anaweza kuficha makosa kwa kipindi fulani, lakini hawezi kuuzuia muda...
  2. JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Heche amesema anahitaji milioni 30 ili zimuongezee motisha?

    Nimekutana na hii video Insta wanasema, "wanachadema haujawapatia majibu ya million 900 zilipoenda kwa ujasiri Unakuja mbele za watu eti unaomba mil 30 kwaajili yako zikupe motisha, motisha gani akati umeshawaibia wanachadema mil 900 na hutaki kusema zilipo Kwa tunavokufahamu wewe ingekua sio...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani. Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuifarakanisha CHADEMA kwa wizi wa Heche.

    Niliwaza kabla haijapendekezwa na wengine,kumbe NAMI niliwaza kama wengine walivyowaza. Kua kama wanasema Heche ni mwizi wa Hela za michango ya tonetone,basi nilitamani sana atokee mtu aombe namba ya akaunti ya Benki ya Heche binafsi ili tumchangie kwa sababu Heche anapiga kazi ya kibabe sana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Heche wewe ni mchafu, husafishiki kwa Press conference

    Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki. Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aibu wameona wao, mabosi wanaochangia tone kwa tone wana imani kubwa sana na Heche, wamuomba Heche atoe account binafsi nje ya shughuli za chama

    Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango. Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script. Badala...
  8. JamiiForums Tanzania Yakuzomewa na ya Jumuiya ya Madola, Yamewaacha Machawa ,CCM na Wahuni wasijue waendelee kumchafua HECHE au wajikite na Vibano hivo

    Tuliwaambia Yana Mwisho hayaaa
  9. JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  10. JamiiForums Tanzania Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa watanzania: Tumchangie hela Heche kama malipo ya kutunyooshea mafisadi na majambazi yaliyoua watanganyika wenzetu

    Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari. Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo. Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Heche?

    Ukweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki. Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

    Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tuhuma dhidi ya Heche, hadi sasa sizikubali

    Mimi si mfuasi wa CHADEMA, lakini hilo halimaanishi nikubali kila tuhuma inayotolewa dhidi ya viongozi wake bila kutumia akili na kuhoji. Katika suala la madai kwamba Heche amekula fedha, binafsi sijaona ushahidi wa wazi unaonifanya niamini tuhuma hizo. Pia, inapokuja habari, ni wajibu wetu...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnakosea kulea Ufisadi wa Heche

    Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu. Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu. Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga. Kama kala hela za Chama muondoeni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania ASANTE Bwana Yesu, hili la Heche wananchi wameli brush off. Wamelipiga teke na kumruhusu Heche aendelee na kichapo. Machawa tafuta lingine

    Limeeleweka vema kuwa ni propaganda za CCM na machawa kachara. Limepigwa teke na kukanyagwa misili ya mitalawanda! Machawa tafuta lingine , hili limebuma!
  17. JamiiForums Tanzania Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

    Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa. Naona Kuna kundi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Heche ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA hadi Lissu atakapokuwa huru. Utake usitake

    Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama. Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma. Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

    Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani. Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

    Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama. Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari. Okay sawa, uhenda nia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…