Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia..
Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari.
Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo.
Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
Ukweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki.
Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa...
Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
Mimi si mfuasi wa CHADEMA, lakini hilo halimaanishi nikubali kila tuhuma inayotolewa dhidi ya viongozi wake bila kutumia akili na kuhoji. Katika suala la madai kwamba Heche amekula fedha, binafsi sijaona ushahidi wa wazi unaonifanya niamini tuhuma hizo.
Pia, inapokuja habari, ni wajibu wetu...
Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.
Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.
Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.
Kama kala hela za Chama muondoeni...
Limeeleweka vema kuwa ni propaganda za CCM na machawa kachara. Limepigwa teke na kukanyagwa misili ya mitalawanda!
Machawa tafuta lingine , hili limebuma!
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.
Naona Kuna kundi...
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.
Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.
Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye...
Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia...
kumekuwa na machapisho kadhaa yanayosambazwa kupitia mitandao ya kijamii yakimhusisha kiongozi na makumu mwenyekiti wa chadema taifa john heche na nukuu inayodai kuwa alisema, "tutatumia uhuru wa chama chetu kuteka na kuumiza."
chapisho hilo linaambatana na ujumbe unaosema:"hizi si siasa za...
Script ni ile ile! Walishindwa kufanya Mbowe apate wapinzani dhaifu kwenye uchaguzi wa chama, Lissu akatia ngumu. Wamepambana weee, wamemwaga hela lakini wapi! Eti watu wa kumbackup Mbowe ndo akina Yericko Nyerere😂, mweupe utafikiri kichwani kuna pamba ndo apambane na mtu ka Lissu?
Zikawekwa...
Ninakumbuka Musiba aliwahi kusema baada ya Lissu na Hche kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa Chadema kuwa CCM wajiandae na siasa ngumu kutokana na haiba ya hawa watu.
Ni kweli tumeyaona utabili wake ulikuwa sahihi. wacha tuone
Haka kajamaaa, kametwit Jana ukiwa una ujinga KICHWAN , unaweza kadhania kwamba kenyewe kanawapenda akina Lissu na Heche na kwamba hamna wa kuwatoa.
Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama...
Ukiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili.
Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua. Kaza kamba ili watu waendelee kula pesa za wajinga.
Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea...
https://www.youtube.com/live/oLQsox2lUog?si=CJFvGWpLngaSv3H9
Hebu msikilize kiongozi huyu wa chadema anavyojaribu kutetea matumizi binafsi ya pesa za chadema :1Head:
Mungu Ibariki Tanzania
Kwasababu ni wazi,
kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao.
Je,
tutegemee wimbi...
Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche.
Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke
Kama.ni kweli hatufiki mbali.
Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.
Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.