Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka.
Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
Shahidi John Heche tayari amewasili mahakamani, ni siku nyingine tena tunaendelea kupambana na kesi ya uhaini ya Mh. Tundu Lissu aliyopewa na Jamhuri
Kaa tayari kwa updates
=======
Leo September 15, 2026
Last time tuliishia Sehemu ya 417
Sehemu ya 418
Majaji wameingia muda huu hapa...
Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk.
Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani...
Kama Nia ni kutokana mchezoni nadhani Serikali haiwezi kua na uvumilivu.
Ni kuanza kulinganisha naufisadi wao.
CCM na Ufisadi ni kama uji na mgonjwa.
Kwa mfano katuga na wenzake wakiuliza juu ya gari au trekta ya Heche Ina thamani Gani,Heche anaweza kujibu gari langu used la sh Milioni kumi...
Wanaukumbi.
John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.
Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche.
Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli...
👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.
👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa...
Kwa maoni na mtazamo wako,
unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema,
Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano?
Nani anaweza kua changamoto zaidi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya kusikia Heche kumbe ana mazungumzo ya siri na DGIS. Kweli CCM sio chama cha kuchezea.
Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya kusikia Heche kumbe ana mazungumzo ya siri na DGIS. Kweli CCM sio chama cha kuchezea.
Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na...
By Advocate Paulo Boniventure;
Shahidi wa 5 wa upande wa Defence (DW5) Mh John Wegesa Heche wa kesi ya tuhuma za uhaini wa maneno ya Mh Tundu Lissu - Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA alianza kutoa ushahidi wake kumtetea Mwenyekiti wake jana 9/9/2026...
Ufuatao ni muhitastari (Situation Overview) ya...
Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho.
Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho...
Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa
Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche...
Hawa wapumbavu hawatikiwi kuonewa huruma.
Kwanini wasimtake LISSU mwenyewe kukubali MARIDHIANO ili aachiwe ??.
Kwann badala yake wanalazimisha HECHE wewe ndio ukubali MARIDHIANO ?.
Kwani ni Ofa ngapi ambazo LISSU kaletewa akiwa Jela ili awe Huru ??
Kama LISSU mwenyewe hajazikubali hizo...
Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.