heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: Pressure iongezeke kuwafanya viongozi walio madarakani kufanya mabadiliko

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema kuna haja ya kuongeza msukumo kutoka kwa wananchi ili kuwafanya viongozi waliopo madarakani kutambua umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba. Heche amesema chimbuko la baadhi ya matatizo yanayotokea nchini...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania John Heche moments special thread

    John Wegesa Heche ni mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na sasa anahudumu kama Makamu Mwenyekiti (Bara) wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Anajulikana sana kwa hotuba zake zenye ushawishi mkubwa, uwezo wa kuhamasisha wananchi kuanzia ngazi ya chini, na harakati zake za dhati za kupinga...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Heche ongeza moto wameanza kutoana maini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, akiwa katika Chumba cha Mahakama kabla ya kesi kuanza leo Agosti 26, 2026, amesikika akimwambia Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, aongeze moto wa kazi
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tukisema msiue watu kwenye uchaguzi tunaonekana wanaharakati, hatuoni shida kuitwa wanaharakati

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amesema chama hicho kimeamua kuendelea kudai mabadiliko ya kweli badala ya kufanya siasa kwa ajili ya kuonekana pekee. Heche amesema wanapozungumzia masuala yanayowagusa wananchi na kudai mabadiliko, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Heche badilisha siasa zako, kupinga Serikali ni sawa na kupigana na Mlima Kilimanjaro

    Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza...
  7. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili John Heche na Tundu Lissu wamuunge mkono Wasira

    Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili kupambana uhalifu kwanini kesi hiyo iishe kwa maridhiano kati wa mtuhumiwa na serikali?. Hakuna...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: Napigwa vita kwa sababu nimekataa siasa za udalali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali". Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo ziwe salamu zetu kila asubuhi ufunguapo JF. Salaam kutoka kwa Heche

    Hizi ndizo ziwe salamu zetu za kwanza wapenda haki , Amani na mageuzi kila ufunguapo JF. SOTE TUSEME AMEN
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wasira asema: Hatutamsamehe Lisu kesi itaendelea: logical deduction ni ipi? Msikilize Heche hàpa chini

    Hatitamsamehe Lisu, kesi itaendelea Kwahiyo nani anaudhibiti wa kesi?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Dodoma umeme ni ware ware hakuna tena kukatika, Uhakika 24/7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme. Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA kimepitia misukosuko mingi kipindi hiki, hatutarudi nyuma. Tutaenda nao wanavyotaka

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka" Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa kuongoza chama hicho wamewekewa mizengwe mingi sana ikiwemo kufungiwa kwa zaidi ya siku 300 na...
  13. Waterloo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

    "Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche: Samia alivunja utaratibu kuanzia ndani ya CCM "Haikutosha akamuweka Lissu ndani ili ajiweke madarakani"

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Agosti 21, 2026 amesema Rais Samia Suluhu amejiweka madarakani kwamba hakuchaguliwa na Wananchi na alianzia ndani ya chama chake kwa kujiteuwa mapema kabisa bila hata bunge kuvunjwa, "amemuweka Lissu ndani ili ajiweke madarakani" Soma Pia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Hii vita tumejiandaa kuipigana Samia anachotaka kufanya na serikali yake, Hatuko tayari kupiga magoti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia hatua ya kuzuiliwa na kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu. Heche amesisitiza...
  16. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Heche anashambuliwa na WanaCCM !

    Heshima sana wanajamvi, Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche. Ni kawaida katika medani za siasa viongozi kurushiana vijembe. Lakini kwanini Heche na si Sugu au viongozi wengine ?. Kwa maoni...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi. Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Heche ni mmoja tu lakini Wasira Kenani na hapi waingia studio kumjibu

    Niliwaambia Heche kashindikana baada ya interview clouds maCCM wanapigana vikubo kujibu mapigo. Haha ahanah a da huyu jamaa anawalaza na viatu asiee. .
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania CCM hatukutaka kabisa Lissu na Heche wawe wenyeviti. Hawa jamaa hawafai wataiua CHADEMA. Tunaona pengo la Mbowe.

    Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali. Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Heche anatawala Interview ni zamu ya Chief Odemba kuingilia kati watoane Jasho

    Heche Ameshindikana. waandishi wa habari wengi wamezidiwa nguvu. Heche anajitawala utadhani yeye ndo anawahoji aha 😄 🤣 😂.. Asa tumwalike Chief odemba tuone kama ataweza kumkaba shingo heche.
Back
Top Bottom