Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
23,150
Reaction score
34,778
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
 
Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
 
Wana haki ya kuongea as far as hawalipii hayo wanayoyaongea,TUNGEKUWA NA TABIA YA KUFUNGULIANA MASHTAKA NA WATU KULIPISHWA FAINI OR KUSOKOMEZWA RUMANDE Basi wote wanaokuwa nyuma ya vipazq sauti wangeacha mara moja..Imagine yule Oruma alivyoiongelea Yanga na Yanga wakasema wataenda mahakamani baada ya hapo Kimyaaaaaa..
 
CCM wanatumia mbinu za 2005 kupigana Vita 2026...

Mwaka 2005 kikwete alichafua watu bila ushahidi na aliaminika...

Kwasababu wananchi walikua na chanzo kimoja tu cha kupata tarifa (mainstream) magazeti,TV na radio...

Leo watu wanapata tarifa nyeti bila kuangalia tv wala kusoma gazeti,unamdanganya nani?...

CCM mkimwendekeza kikwete, nawahakikishia hadi 2030 mtakua nyanya'anyang'a...

Kwasababu huyu mtu hana uwezo wowote zaidi ya kuchafua na kuuwa washindani wake.
 
Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
Kamhoji mamako
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Economist, umeandika ukweli mtupu na nakuunga mkono kwa asilimia mia moja. Huu ni mkakati wa wazi kabisa wa kutumiwa na makundi ya kisiasa nje ya CHADEMA kupiga propaganda za kijinga zisizo na ushahidi.
Ni aibu kwa mwandishi anayejiheshimu kama Oscar na kituo kama Clouds kushupalia ubadhirifu bila kutaja:
  • Shilingi ngapi zimepotea?
  • Zilitoka wapi?
  • Zilitumikaje na Heche?
Kiwango hiki cha uandishi wa habari ni cha hovyo sana. Hawajawahi kuwa na hamasa hii wanapopaswa kuchambua upotevu wa mamilioni ya walipa kodi kwenye Ripoti za CAG, lakini wakisikia jina la mpinzani wanajigeuza kuwa wakaguzi wa hesabu. Huu ni uchawa na upashkuna wa habari!
 
Kamhoji mamako
Kiboko ya Mazwazwa, mkuu taratibu, mama yake hana kosa kwa ujinga wa huyu chawa! Kosa kubwa la mama yake ni vile tu hakutumia kondomu au kumlazimisha mshua amwage nje. Angetupunguzia sana matatizo ya kusikiliza pumba zake hapa kama angetumia tu kondomu siku ile walipofanya sexexercise. 😭😂😂
 
Puuza hao..nizao la Project za akina Mtela Mwampamba.wanapiga hela za CCM..
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Hawa, ni, kenge tu, wapo kuanzia bungeni kibajaji, Baba levo,Makonda, ni, wasema hovyo tu,
Hizi ni diversion tactic, wanaamisha mjadala, tumjadili heche na chadema badala ya ufisadi wa samia na ccm, kesi ya lisu na, nk
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Sa clouds kuna weledi mule?
 
Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
Mkuu huwezi kuamka tu na kuanza kusema "Mkuu wa Mkoa wa Mbeya achunguzwe".... lazima uwe na angalau kitu cha kuanzia. Heche kaiba pesa zipi? kwa namna gani? Ni kiasi gani? Zilikuwa wapi? At least watupe kitu cha kuanzia.
 
Hii nchi kadri unavyojua mambo mengi, ndivyo unavyozidi kuumiza kichwa.
 
Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
Mpaka sasa mmefanyia uchunguzi n nani alihusika kuua watu 29 October?
 
Kiboko ya Mazwazwa, mkuu taratibu, mama yake hana kosa kwa ujinga wa huyu chawa! Kosa kubwa la mama yake ni vile tu hakutumia kondomu au kumlazimisha mshua amwage nje. Angetupunguzia sana matatizo ya kusikiliza pumba zake hapa kama angetumia tu kondomu siku ile walipofanya sexexercise. 😭😂😂
... 'Sexexercise', msamiati mpya huu.
 
Back
Top Bottom