Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,710
- 8,425
Niliwaza kabla haijapendekezwa na wengine,kumbe NAMI niliwaza kama wengine walivyowaza.
Kua kama wanasema Heche ni mwizi wa Hela za michango ya tonetone,basi nilitamani sana atokee mtu aombe namba ya akaunti ya Benki ya Heche binafsi ili tumchangie kwa sababu Heche anapiga kazi ya kibabe sana akiwa Hana kitu.
Chama kikiwa hakika ruzuku.
Kuifarakanisha CHADEMA kwa kumzushia wizi ni ngumu sana,kwa sababu Mkubali msikubali CHADEMA imejikita kwenye mioyo ya watu wengi mno Hadi baadhi ni Wana chama wa chama kilichoshikilia madaraka.
CHADEMA ina uwezo mkubwa mno wa kukabiliana na migogoro ya ndani kuliko chama chochote hapa Tanzania.
CHADEMA imehujumiwa mno kuliko chama chochote EA ili kife lkn imeshindikana.
Hebu kumbuka Nguli wa Siasa za upinzani na wasio Nguli walioondoka CHADEMA kwa mipango au Nia ovu ili CHADEMA isamabratike kama ilivyosambaratika NCCR na CUF lakini CHADEMA ilivuka vuhunzi vyote hivyo.
Kumbuka Vigogo na Nguli wa siasa za mageuzi na upinzani walioondoka CHADEMA na bado haikuteteleka.
Waliotoka kwa uchache ni,
Walianza David Kafulila na wenzake,
Akaja
Zitto kabwe,Samson Mwigamba,Kitila Mkumbo,Mwampamba,Juliana Shonza na wenzao.
Kundi jingine wakaondoka Dokta Slaa na wenzake,
Akaondoka Said Arfi, Rwakatare, Kubenea na wenzake,akaondoka Halima Mdee na Kijiji chake,wakaondoka waliouza majimbo kama Joshua nasari na wenzake,Akaondoka Patrobas katambi na mapandikizi wenzake,akaondoka Msigwa,wakaondoka akina Salum Mwalimu,Benson Kigaila na wenzake.
Mbowe alishindwa uchaguzi kodemokrasia.
Hao wote niliowataja ni Nguli ndani ya CHADEMA waliondoka lakini CHADEMA haikutetereka.
Hivyo mbinu ya kumzushia Heche kua kaiba Hela za tonetone ni kizidi kukiimarisha CHADEMA sana.
Na bahati mbaya Kila alieondoka CHADEMA kwa Nia ovu hupotea kabisa katika ulimwengu wa siasa.
Hii maana yake chedema Ina nguvu mno.
Sio TU kuondokewa na viongozi wake Bali pia kuzushiwa matukio,lkn CHADEMA ilivuka kwa akili kubwa mno,kama wao CHADEMA Wanavyojiita kua, "chedema ni chama makini".
Kumbuka tuhuma na uzushi wa mabomu ya Arusha,Ugaidi wa Rwakatare,Ukanda,udini,ukabila,Tuhuma za John Mnyika kutuhumiwa kumtumia meseji Mwigulu za kutishia kumuua.(Hapa Mabere Marando alionyesha uwezo wake wa ujasusi ku counter attack).
Kwa kweli nikikumbuka ni mipango mingi ilipangwa kuisambaratisha CHADEMA lkn ilishindwa.
Chedema Sasa hivi inamilikiwa na wananchi,haiwezekani Tena.
Alipoondoka Mbowe,akaja Lisu,alipofungwa Lisu watu wakajua chedema kwisha,kachukua dogo Heche,huyu utadhani Mbowe na Lisu bado wapo ndani ya chama,maana sio Kwa moto huu.
CHADEMA itavunjwa na Mungu TU.