Mwandambo: Heche wewe ni mchafu, husafishiki kwa Press conference

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,103
Reaction score
3,999
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.

Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata kushika hiyo nafasi. Nasema Heche ni mchafu. Heche hasafishiki, hasafishiki hata mgemshabikia namna gani.

Mnyika, unafikiri utamsafisha Heche kwa press conference? Kwa press conference? Au unafikiri mtamsafisha kwa kuwasimamisha viongozi wa Tanga na Morogoro kwenye uongozi? Mnafikiri mtamsafisha kwa kuwatisha wanachadema wasiseme chochote? Never! Never!

Heche ameshachafuka, ameshachafuka na tutakula naye sahani moja. Asipige ufisadi wakati yeye ni fisadi. Mwandambo anasema Heche, Heche umechafuka. Umechafuka tena sana! Nachoka Mwandambo, nachoka mzee Mwandambo. Nimemaliza mimi
."
 
..OK!!

..sasa kama Heche ni mchafu na hasafishiki, vipi kuhusu Mama Abduli?

..Mama Abduli anayemtuma Mwandambo ndio anasafishika?
 
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.

Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata kushika hiyo nafasi. Nasema Heche ni mchafu. Heche hasafishiki, hasafishiki hata mgemshabikia namna gani.

Mnyika, unafikiri utamsafisha Heche kwa press conference? Kwa press conference? Au unafikiri mtamsafisha kwa kuwasimamisha viongozi wa Tanga na Morogoro kwenye uongozi? Mnafikiri mtamsafisha kwa kuwatisha wanachadema wasiseme chochote? Never! Never!

Heche ameshachafuka, ameshachafuka na tutakula naye sahani moja. Asipige ufisadi wakati yeye ni fisadi. Mwandambo anasema Heche, Heche umechafuka. Umechafuka tena sana! Nachoka Mwandambo, nachoka mzee Mwandambo. Nimemaliza mimi
."
Hakunaga mwenye akili kwenye mtandao wa majambazi. Wote vichwa vyao ni brainless!
 
CCM iliishaga kufa hadi kwenye sekta ya Propaganda.

CCM inakufa machoni petu
 
Kumsikiliza huyu mtu aliye fumuliwa marinda ni kupoteza muda
 
As

Asali ni tamu sana
 
KAMA HUJA LIPWA CHOCHOTE KUMTETEA HUYO MAMA, BASI WEWE Mawele jihesabu miongoni mwa watu wapumbavu sana.. kama ume lipwa basi sawa najua upo kazini huyo mama ndiyo mjinga, hela za maendeleo anatumia kulipa machawa kama wewe..
 
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.

Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata kushika hiyo nafasi. Nasema Heche ni mchafu. Heche hasafishiki, hasafishiki hata mgemshabikia namna gani.

Mnyika, unafikiri utamsafisha Heche kwa press conference? Kwa press conference? Au unafikiri mtamsafisha kwa kuwasimamisha viongozi wa Tanga na Morogoro kwenye uongozi? Mnafikiri mtamsafisha kwa kuwatisha wanachadema wasiseme chochote? Never! Never!

Heche ameshachafuka, ameshachafuka na tutakula naye sahani moja. Asipige ufisadi wakati yeye ni fisadi. Mwandambo anasema Heche, Heche umechafuka. Umechafuka tena sana! Nachoka Mwandambo, nachoka mzee Mwandambo. Nimemaliza mimi
."
rinda likishatoka limetoka! halirudishiki!
 
Kulewa sio tatizo

Ila kulewa huku unajirekodi ni kudhalilisha heshima ya Pombe na ni kitu hakipendezi
 
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki.

Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche hasafishiki. Ni mchafu hata huyo makamu mwenyekiti hamfai. Heche ni mchafu, tena aone aibu hata kushika hiyo nafasi. Nasema Heche ni mchafu. Heche hasafishiki, hasafishiki hata mgemshabikia namna gani.

Mnyika, unafikiri utamsafisha Heche kwa press conference? Kwa press conference? Au unafikiri mtamsafisha kwa kuwasimamisha viongozi wa Tanga na Morogoro kwenye uongozi? Mnafikiri mtamsafisha kwa kuwatisha wanachadema wasiseme chochote? Never! Never!

Heche ameshachafuka, ameshachafuka na tutakula naye sahani moja. Asipige ufisadi wakati yeye ni fisadi. Mwandambo anasema Heche, Heche umechafuka. Umechafuka tena sana! Nachoka Mwandambo, nachoka mzee Mwandambo. Nimemaliza mimi
."
Siku hizi hata kichaa akimzungumzia Heche vibaya basi ana nukuliwa mpaka jukwaa adhimu la JF?
Good Lord how low we have sunk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom