Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 39,912
- 50,979
Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.
Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.
Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.
Kama kala hela za Chama muondoeni msimuangalie machoni.