Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025.
Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa
Mnajua ndugu yenu yupo wapi hivi sasa hatuwezi kufanya amani kwenye mazingira kama haya tupaze sauti tumuokoe ndugu yetu.
lazima tuzuuie huu uchaguzi ila mambo haya yaishe
Mawakili Gido Semfukwe na Shaban Marijani wanaowawakilisha aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili, kwenye kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025 walioifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar dhidi ya vigogo wa CHADEMA wakiongozwa...
Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea”
Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche.
Katibu wetu wa Chama umenikera mno leo Kwa mara ya kwanza
Kwanini utoe taarifa za wali alipo makamu Mwenyekiti wetu?
Kwani wewe ndo ulimkamata?
Police wamekaidi kutoa taarifa za wapi alipo, wewe Kwa kiherehere chako umeharibu kila kitu
Ona tumekosa pa kuanzia
Wakurya huko Tarime...
Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa.
==================
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana.
UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda.
Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa
Poleni...
Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Pia soma
> John...
ccm
chadema
heche
john heche
john heche akamatwa
machafuko
mahakama
makamanda
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
sana
serikali
serikali ya ccm
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania zilitoa taarifa zikisema John Heche alivuka mpaka kinyume cha sheria.
Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
Nimemsikia mtoto wa Magufuli Jesca.
Nadhani kuna taratibu hazikufuatwa kuiwalilisha Chadema.
Ilibidi atajwe.
Any explanation kwa anayejua sababu?
Au hajafika huko kwenye mazishi
Salaam...
Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29
Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo...
Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime.
Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
Tusitafute kiki bila mpangilio.
Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais .
Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba
He who alleges must prove
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.