hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Hivi kwanini Tanzania hatuna Wapelelezi Binafsi (Private Investigators)?

    Suala la Ulinzi na Usalama ni agenda muhimu duniani. Mfumo wa Kipolisi peke yake haiwezi kuweka mazingira salama. Nitoe mifano michache nchi kama Marekani, Uingereza, Canada, Urusi, India, China, South Afrika, Misri na hata Israeli. Pamoja na kuwa na vyombo strong vya Ulinzi na Usalama zikiwemo...
  2. Hatuna deni na Magufuli, kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri

    Hatuna deni na huyu Mwamba🙏🏼 Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
  3. D

    Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

    watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE. SOME THING MUST BE DONE. WE CANT GO ON THIS WAY. WE NEED THIS GOVERNMENT OUT, BY ANY MEANS. WE NEED...
  4. Binadamu wote hatuna akili timamu

    Tunazidiana tu ukubwa wa changamoto hiyo. Uthibitisho tunaupata hapahapa.
  5. Tanzania hatuna Madaktari, tuna vishoka na makasuku

    Ninaliandika hili kwa tahadhari kubwa sana, natamani hata niandike kwa wino mwekundu kisha niligongelee muhuri wa mahakama ili kutilia mkazo. Nchi hii haina madaktari wala wanaojiita wataalamu wa afya. Hawapo kabisa, hakuna hata mmoja. Nitaeleza. Mwaka 2020 kulizuka kitu kilichopewa jina la...
  6. Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii! Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini? Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna...
  7. Kadogosa: Safari za SGR kutoka Dar - Moro zimechelewa kwasababu ya hatuna Vichwa vya Treni

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam - Morogoro umekamilika kwa 100% na mabehewa zaidi ya 45 tayari yamewasili nchini lakini kilichosimamisha safari kuanza ni kuchelewa kwa vichwa vya treni ambapo hadi sasa...
  8. Kama hii ni kweli, CHADEMA hatuna viongozi tuna wapenda ndululu tu

  9. Kwanini Tanzania Hatuna Music Charts Zinazoeleweka Kama Billboard Hot 100? Tunakwama Wapi

    Kama unafuatilia muziki kwa umakini utabaini kwamba Bongo hamna music chart ya kueleweka, the likes of Billboard. Hapa Bongo kila kituo kina charts zake. Clouds ina Clouds FM top 30, EA Radio ina za kwake na vituo vingine vingi. Ubaya wa charts hizi ni kwamba hazina uhalisia. Zina upendeleo na...
  10. Watanzania wengi hawapendi kusafiri

    Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi. Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya. Why this🤔🤔
  11. Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

    Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha Sasa wameenda na Zimbabwe. Kwa uzoefu...
  12. Y

    Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts

    Tumekua wahanga wa elimu kwa kufata mihemuko ama kwa kutokua na uelewa na mambo yalihusulo taifa, serikali imekua kipofu kwa ktokua na maono ya moja kwa moja kwa vijana wa kitanzania. Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts za moja kwa moja kwa taifa ...
  13. Hata tukifuzu kwa mazingaombwe hatuna timu ya kupeleka AFCON 2023

    AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana tayari wameonekana ni liability katika timu pamoja na kwamba kuna viongozi pale Simba wanamkingia...
  14. Mhandisi Fatma Rembo - "2025 Tuna Jambo Letu Ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan na Hatuna Mwingine"

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba waendelee kushikamana kwani tunaelekea kwenye Uchuguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi...
  15. VAR hatuna basi tutumie TV re-play viwanjani kwa Sasa

    Video Assisted Referees (VAR) hatuna kwanini tusianzie na tv re-play (slow motions) viwanjani kwa baadhi ya matukio kama uhalali wa magoli na offsides? Goli la Konkoni kwenye mechi ya Yanga vs KMC nusura lilete dhahama pale kiwanjani. Na yapo matukio mengine ambayo kwa wanaoangalia replay wako...
  16. Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

    Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu kufanya hivyo ila sio kwenye suala la Mkataba wa Bandari; huko tunahitaji kuwa na ufahamu wa kutosha...
  17. UKWELI MCHUNGU Tanzania hatuna viongozi

    Huu uzi wangu simple&clear Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini. Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa. UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi...
  18. "Simba hatuna kocha" asema Mayor mstaafu Boniface Jacob

    SIMBA HATUNA KOCHA Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️ "1. Simba hatuna kocha ... 2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale tukitegemea matokeo mapya .. 3. Mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya uwanja. 4. Yanga...
  19. FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo. Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama Skudu, Konkon huku Azam ikiwa na nyota wapya machachali weka mbali na watoto Feisal, Bangala...
  20. Kumbe Tanzania hatuna amani tuna woga tu

    Kumbe Watanzania tuna woga na siyo amani, hoja ndogo tu tena ya nia njema ya kutukwamua mahali tulipo DP world tunatukanana mpaka mapovu yanatutoka. Hivi katika Dunia hii walioweza kufanikiwa bila kusubutu ni Taifa lipi kwa mfano. kelele ngapi zilizopigwa Chuma aliposema tunahamia Dodoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…