The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024.
.
Naona matabasamu kwa viongozi tu
Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka.
Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000...
Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno
Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama, uchumi upo vizuri, n.k. Ni kwamba kwao mambo yakiwa mazuri hawana motivation ya kusaidia wengine wenye...
VERSION 1
Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya tunaishia kulipa matrilion ya faini, maliasili za nchi kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa wageni kwa manufaa...
Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
Anonymous
Thread
ajabu
hatuna
longido
maji
miaka
miradi
serikali
wakazi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua mbalimbalu za kinidhamu katika udanganyifu wa mitihani
Kauli hiyo ameitoa Julai 12, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya Temeke Mtaa wa Buza.
Kutokana na changamoto za kimaisha nikachelewa kwenda kuchukua cheti cha...
Anonymous
Thread
dar
hatuna
madeni
sekondari
shule
shule ya sekondari
vyeti
wakati
Maji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni original. yaani walioweza kununua kadeti original za dukani walikuwa ni wale daraja la juu zaidi kiuchumi...
Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba.
Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake...
Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa ni Kwanza kuhakikisha Simba SC inadhoofishwa mbele ya Yanga SC ili iangushe Alama ( Points ) nyingi...
Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii.
Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
Habarini
Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi...
Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia.
Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika.
Nani mwenye uthubutu?
Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na ukwapuaji wa fedha za umma.
Tutafakari pamoja.....
Je, tunajadili kama wananchi kwa lengo gani...
Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani, wiraya ya Mkuranga kata Mwarusembe mtaa wa Kinene.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.