hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Vituka (Dar) inatutoza Tsh. 30,000 kwa ajili ya Vyeti wakati hatuna madeni

    Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya Temeke Mtaa wa Buza. Kutokana na changamoto za kimaisha nikachelewa kwenda kuchukua cheti cha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuna injini za magari zinazoendeshwa kwa maji?

    Maji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Vicobs wapewe maua, wametatua kilio cha muda mrefu cha kadeti orijino, kwa sasa hatuna haja ya kufanya mawindo mitumbani, Ni mkataba !!

    Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni original. yaani walioweza kununua kadeti original za dukani walikuwa ni wale daraja la juu zaidi kiuchumi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu hatuna cha kumdai Mo Dewji, Kanunua timu kwa bilioni 20 na bado anaendelea kuigharamia, tutake nini zaidi wanasimba ?

    Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba. Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda

    Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda bali baada ya Viongozi baadhi wa Simba SC ambao wana DNA na Yanga SC pamoja na Matajiri wao wameshamaliza Jukumu lao walilopewa. Mpango ulikuwa ni Kwanza kuhakikisha Simba SC inadhoofishwa mbele ya Yanga SC ili iangushe Alama ( Points ) nyingi...
  6. Mtambuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

    Habarini Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu. Asante
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia. Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG. Tunaishia kupiga kelele na hatuna la kuwafanya. Kuna ukweli...

    Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika. Nani mwenye uthubutu? Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na ukwapuaji wa fedha za umma. Tutafakari pamoja..... Je, tunajadili kama wananchi kwa lengo gani...
  12. Hilaaliy

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha umeme Mkuranga kiangaliwe, eneo la Kinene hatuna umeme mwezi mzima

    Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani, wiraya ya Mkuranga kata Mwarusembe mtaa wa Kinene.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasasali: Jimbo la Sumve Hatuna Hata Milimita Moja ya Barabara ya Lami, Tumechoshwa na Ahadi Hewa!

    MBUNGE KASALALI: JIMBO LA SUMVE HATUNA HATA MILIMITA MOJA YA LAMI, TUMECHOKA! Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe. Emmanuel Kasalali amechangia, April 4.2024 Bungeni jijini Dodoma ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri nya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kuongea na Waziri wa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

    direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need 1: experience 2. quality players 3. luck 4. money 5. leadership 6. fans 7.great manager 8. good facilities tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5...
  15. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

    Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana Ugomvi wetu na Masandawana ni ndani ya dakika tisini tu Hivyo wale mashabiki chipolopolo wa hapa bongo wanataka kwenda...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

    Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao. Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno. Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao +...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    MIUNGU YETU ILISHINDWA, MIZIMU YETU IKAPIGWA, SASA TUMEKUWA JAMII ILIYOANGUKA NA HATUNA TUMAINI TENA LA KUSIMAMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mila zetu, Desturi zetu, tamaduni zetu, utambulisho wetu na kila kilichokuwa chetu kiliitwa Potofu baada ya kushindwa. Upotofu upo kwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

    Nimefuatilia kwa makini clip ya Mh Bashe kuhusu suala hili. Kweli speech yake imeniacha na maswali mengi. Listerning between his wording (alivyo-paraphrase) na tone ya speech yake utajiuliza je ni ubabe? je ni overconfidence? je ni kweli tunajitosheleza? ni kiburi, je ni kweli hatuna shida?, je...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa King'azi, Kata ya Kwembe na maeneo ya Kifuru hatuna maji tangu Januari

    Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari. Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hatuna utawala wa sheria tuna watawala wa sheria

    WAKILI mahiri na msomi kweli kweli. Pia shangazi wa taifa, Bi Fatma Karume, amesema kuwa hatuna utawala wa sheria Bali tuna watawala wa sheria. Hii inamaana gani kwamba nchi inaendeshwa kwa matakwa ya watu na sio kwa majibu wa sheria. Kwa maneno mepesi ni kwamba watawala au watu wenye...
Back
Top Bottom