Mbinu za malezi ziendane na hatua za ukuaji wa Mtoto

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio dada”

Hali hii ya kawaida kabisa katika makuzi ya mtoto lakini usipoelewa jambo hili unaweza kuona mtoto wako ameanza dharau na hataki kukusikiliza.

Hivyo ni muhimu sana kuzingatia hatua ya ukuaji aliyopo mtoto wako ili kuelewa ni tabia zinaweza kuoneshwa kwenye hatua hiyo na uweke katika nafasi nzuri ya kuchagua mbinu sahihi za malezi.
 
Ni kweli kabisa. Inatakiwa watoto wapewe malezi kwa umakini sana kwa kuwasoma uwezo wao wa kiakili, fikra zao na mawazo yao.
 
Back
Top Bottom