Wapinzani tambueni umoja wa kitaifa sio kuruhusu wapinzani kufanya makosa ya jinai na kutowachukulia hatua za kisheria

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani

Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo wasichukuliwe hatua?

Je mnadhania kufumbia macho wapinzanj wanaovunja sheria ndio misingi ya umoja wa kitaifa?

Au mlizoea siasa za kuachwa mfanye mnavyotaka hata kama mkifanya makosa?
 
kwa madudu yanayoendelea kwenye kesi hii umekosa hata aibu ya kinafiq kuandika upupu kama huu.
 
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani

Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo wasichukuliwe hatua?

Je mnadhania kufumbia macho wapinzanj wanaovunja sheria ndio misingi ya umoja wa kitaifa?

Au mlizoea siasa za kuachwa mfanye mnavyotaka hata kama mkifanya makosa?
Hoja zako ni za kuchekesha kama za Mwigulu Madelu Nchemba sijui ndio wewe?
 
Hivi mkuu unaongelea upinzani huu wa chadema ndio tuunde nao serikali ya umoja wa kitaifa?
 
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani

Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo wasichukuliwe hatua?

Je mnadhania kufumbia macho wapinzanj wanaovunja sheria ndio misingi ya umoja wa kitaifa?

Au mlizoea siasa za kuachwa mfanye mnavyotaka hata kama mkifanya makosa?
At your unsound brain condition.
 
Ni mjinga na mpumbavu wewe, hoja zako ni za chooni.
 
Back
Top Bottom