hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagu wa Malunde

    Kwa mauaji yanayotokea vituo vya polisi kama vile polisi wamegeuka serial killers

    Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria. Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa kujinyonga selo za polisi katika mazingira ambayo tafakuri ikifanyika watu hawapati majibu. Tukio la...
  2. sanalii

    Polisi walioua mfanyabiashara Mtwara wameshachukuliwa hatua za haraka kama panyaroad?

    Najua watanzania wengi ni wabinafsi hawajali haki za wengine na wengine hawafahaumu,lakin Nchi haiwezi kua na amani kama kutakua na double standard na dhulma kiwango hiki. 1. Kama nchi imeamua kushughulikia uhalifu kwa kuua basi tuanze kupewa taarifa ya akari waliohusika na mauji ya kijana...
  3. dalalitz

    Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  4. BARD AI

    Watoto wengi wanakutwa na Saratani iliyofikia hatua mbaya

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Damu kwa Watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Heronima Kashaigil amesema kuwa watoto 5 hadi 7 wanahudhuria Kliniki ya matibabu ya Saratani kila siku, sawa na watoto 250 kwa mwezi. Utafiti uliofanywa na Shirika la ICCARE Tanzania ulibaini...
  5. K

    SoC02 Uhuru wa kifedha. Hatua ianze sasa

    Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa kifedha nalo si jambo la kawaida. Usalama wakifedha ni hali ya kutokuwa na wasiwasi wa fedha kwani una...
  6. Rashda Zunde

    Serikali yataja hatua nane kudhibiti mfumuko wa bei

    Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji. 2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya...
  7. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya anga ya juu wapiga hatua mpya

    Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye kituo cha anga ya juu cha China. Mbali na kustaajabu kuwasiliana na watu walio kwenye anga ya juu...
  8. BARD AI

    Mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kila siku

    Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya kila mwaka, maradhi hayo yataathiri uchumi wa familia na nguvukazi ya Taifa. Profesa Janab ametoa...
  9. M

    Hongereni yanga na simba kwa ushindi wa leo lakini michuano mtaianza hatua itayofuata

    Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,. Pamoja na kushinda timu zote 2 zimekutana na timu ambazo zina viwango vya chini, ukianzia Nyassa big bullet ya malawi ni timu...
  10. Mwande na Mndewa

    Tanzania bila tozo inawezekana

    TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA. Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
  11. google helper

    SoC02 Uchafu unatukwamisha sana watanzania kupiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote. Hakika sisi ni wachafu sana

    Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa. Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote yanayotuzunguka. Uchafu katika nchi yetu sio jambo geni kabisa maana uchafu upo kila mahala. Uchafu...
  12. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wanunuzi wa tumbaku ambao hawajawalipa wakulima wachukuliwe hatua

    WANUNUZI WA TUMBAKU AMBAO HAWAJAWALIPA WAKULIMA WACHUKULIWE HATUA - MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote ambao wamechukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha zao wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwani Serikali inataka kuona wakulima...
  13. Dr Msaka Habari

    Makamishna wa ardhi wasaidizi kuanza kuchukuliwa hatua za kinidhamu

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi ametakiwa kuhakikisha anachukua hatua ya kinidhamu mara moja kwa Makamishina wasaidizi wa ardhi Mikoa ambao wanafanya kazi kwa mazoea na wameshindwa kukidhi matarajio ya Wizara. Maagizo hayo yametolewa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
  14. Life2

    Chukua hatua dhidi ya maradhi ya ulaji mbovu

    Wapendwa afya ni mtaji kwa kila kitu ukitaka kufahamu hilo umwa hata mafua tu ndio utajua afya ikipata shida kidogo tu hakika mwili ndio unaumia na hatimaye kudhoofu na kuchoka kabisa na mhusika kukosa furaha/amani. Ukitaka kujua afya ni mtaji angalia ule msafara kwa kwenda kwa Babu...
  15. BARD AI

    Kenya2022 Hatua na Mchakato wa kuapishwa kwa Ruto Septemba 13, 2022

    Naibu Rais William Ruto anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi wa kuidhinisha ushindi wa uchaguzi huo. Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya 2010, Ruto ataapishwa mnamo Jumanne, Agosti 13 katika uwanja wa Kasarani. Kifungu cha 141 kuhusu...
  16. John abruzzi

    Mfululizo wa ajali bila hatua kuchukuliwa ulimng'oa waziri

    Ni Mwigulu alipotumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani. Namnukuu hayati JPM. "nimechoka kutoa salamu za rambirambi kwa sababu ya ajali kila siku, nimechoka, it's too much (kwa uchungu with a very serious tone). Mbaya zaidi ninayetoa ni mimi tu huku waziri akiwa anazurula bila kuchukua hatua...
  17. Z

    Rais Samia chukua hatua dhidi ya TAKUKURU; Wanatumia taarifa za rushwa kwa manufaa binafsi

    Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
  18. Akey

    SoC02 Tanzania na urafiki bado tuna hatua ya kupiga

    Tanzania ni nchi ambayo imekua na mahusiano mengi na nchi mbalimbali tangu miaka ya mwanzo. Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere aliipa kipaumbele urafiki baina ya nchi yetu na mataifa ya nje.Aidha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza tamaduni hii ambapo mpaka leo tuna...
  19. M

    Yanga inayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi

    Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu. Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza na simba, ni timu ya kawaida ambayo kwa jicho la kiufundi nimeona bado inatafuta muunganiko baada ya...
  20. cold water

    Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

    ...
Back
Top Bottom