Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni.
Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
Nimekutana na hili tangazo kwenye group moja la whatsup. Nadhani kwenye mkutano huu vyombo vya dola viwepo na wahusika wa kusaidia wananchi kuondokana na fikra potofu - kudanganya kilimo kinafanywa kwa njia ya simu na kuwekeza mahela bila kufanikiwa, wapewe haki zao!
Mauza uza kama haya 2023...
- Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika.
- Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
Kwa mujibu wa takwimu za Nguvukazi na soko la ajira Tanzania (Bara na Visiwani) mwaka 2021/2022 lipo jambo ambalo tunapaswa angalau kuona jitihada na kulisema kwani ni hatua ya kuonesha jitihada za makusudi kufikia lengo.
Takwimu zinaonesha umasikini Nchini Tanzania ulishuka kutoka asilimia...
Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa Makao Makuu ya Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) unaofadhiliwa na China...
Jumapili, Januari 8, 2023, China ilitangaza kulegeza zaidi hatua za udhibiti wa virusi vya Corona, na kuondoa masharti ya kuweka wasafiri karantini mara wanapowasili nchini China kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
Tangu mlipuko wa COVID-19 ulipotokea mwishoni mwa mwaka 2019 na kesi ya kwanza...
Last week nilikutana na Ex wangu ambae tulikua tunaishi kama mke na mume zamani. Akiwa amemaliza chuo hana ramani, nikamwambia mama usipate shaka mumeo nipo nna kijikazi njoo tuishi, so tukaanza kuishi wote yaani ile happily ever after, so so happy.
Mwanamke wa haswa haswa, sasa tukawa tuna...
Tunaona kwenye ripoti mbalimbali za fedha za Kila mwaka za CAG, zikiibua ufisadi mkubwa wa mabilioni, unaofanywa na watendaji Serikalini, lakini tunaona ni "business as usual" inayoendelea na hakuna hatua zozote za kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya Sheria zinazochukuliwa!
Tunashuhudia...
Aridhi ya Tanzania inaenda kuhodhiwa na Wageni hasa Wakenya & Warwanda.Idadi ya Wakenya wanahamia Tanzania inaongezeka maradufu.Mwezi uliopita nilisafiri kwenda Msibani Tarime wakati narudi kuelekea Mwanza mida ya SAA 1 kutokea Tarime-wakati tunafika katika daraja la MTO Mara mpakani mwa Wilaya...
Kuanzia tarehe 8 mwezi Januari, China imerekebisha hatua zake za kukabiliana na janga la COVID-19 kutoka ngazi A hadi B. Kwa mujibu wa hatua mpya, watu walioambukizwa na virusi vya Corona hawatawekwa karantini tena, na watu wanaoingia nchini China kutoka nchi za nje pia hawatalazimishwa tena...
Salamu wakuu,
Poleni na changamoto za January naamini zitapita tu Kama upepo wa kisulisuli
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kama sio kukera sana ni suala la makondakta wa Daladala kuwanyanyasa wanafunzi waendapo shuleni asubuhi na jioni wakati wa...
Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali.
Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando...
Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023.
Direct kwenye point
Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2.
Baada ya malipo ya awali, ambayo yalikuwa ni kama 2/3 ya malipo yote, tulimuomba mzee aliyetuuzia copy ya hati ya...
Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.
Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.