hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

    Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye...
  2. Sildenafil Citrate

    Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Watanzania 18 na Mwingereza mmoja, jana walishindwa kuingia mini Bukoba, wakiwa hai baada ya maisha yao kukatizwa na ajali ya ndege ilivowatoa Dar es Salaam wakiwa salama. Hawa ni miongoni mwa abiria 43 walioelezwa kuwamo ndani ya ndege aina ya ATR42-500 mali ya Shirika la Precision...
  3. Black Butterfly

    Serikali inapuuza Ripoti za CAG au inawalinda wezi?

    Jamani ukifatilia ripoti za CAG pamoja na kuweka wazi wahusika wa upotevu mkubwa wa fedha za Umma lakini Serikali imekuwa haichukui hatua kali dhidi yao na ndio sababu matukio ya upigaji yanajirudia Mara zote CAG na Bunge wamependekeza hatua za kuchukua lakini Serikali haiwawajibishi wanaotajwa...
  4. Tomaa Mireni

    Chukua hatua hizi kupata mwanamke anaekufaa kwenye maisha yako

    Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa. Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza. Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri. Swali linakuja je nitajuaje...
  5. L

    Kukumbatia lugha yako ni hatua ya kwanza ya kujiamini kitamaduni

    Hivi karibuni, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara ya ukaguzi katika magofu ya Yinxu mjini Anyang, katikati ya China na kusema “Maandishi ya lugha ya Kichina yameshangaza sana, na kufanya kazi kubwa katika kuunda na kuendeleza taifa la China." Yakiwa magofu ya kwanza ya mji mkuu katika...
  6. Kipenzi Changu

    Huyu ni kidato cha nne, Serikali chukueni hatua

    Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende. Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu...
  7. Crocodiletooth

    Je, hii ni hatua sahihi kwa mzazi kuichukua?

    Nauilza tu waungwana
  8. cold water

    Mkidharauliwa na ndugu huwa mnachukua hatua gani?

    Morning wapendwa, Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua...
  9. Zakaria Maseke

    Hatua za kuanzisha biashara binafsi au ubia (procedures for establishing a sole trade & partnership business) in Tanzania

    Kuna aina nyingi za kufanya biashara (there are so many forms of doing business) kama vile biashara ya mtu mmoja (sole trade), biashara ya ushirikiano (partnership), vikundi, kampuni, trust n.k. Kwenye hili andiko nitaongelea mchakato wa kusajili biashara binafsi na biashara ya ubia...
  10. Zakaria Maseke

    Hatua za kusajili kampuni ya kigeni (procedures for the registration of a foreign company in Tanzania)

    Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania. Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate, zakariamaseke@gmail.com (0754575246 WhatsApp). Kiujumla, hatua za kusajili kampuni ya kigeni zinafanana na hatua za...
  11. Vawulence

    Press conference ya Yanga 18. 10. 2022

    Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande mbili yamefikiwa 2. Malalamiko ya kutosha kwa muamuzi wa jana kwani wanaamini Arajiga ndio angefaa...
  12. The Palm Beach

    CHADEMA iko kwenye hatua ya "Maturity"; Katika hatua hii, haiwezekani kuifubaza au kuifuta..!

    Kuna wana CCM kadhaa na mashabiki wao wasio na uelewa ama ufahamu wanasema kuwa CHADEMA haina dili tena, imekwisha. Hawa ni wajinga, wanahitaji kuelimishwa kwa sababu hawajui wasemalo... Katika dhana ya ujenzi wa taasisi yoyote, kuna kitu kinaitwa kwa lugha ya kiingereza Project Life Cycle -...
  13. Jidu La Mabambasi

    Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

    Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza. Na huo ndio ukalimani proffessional! Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba. Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya...
  14. Nyankurungu2020

    Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  15. Chachu Ombara

    Kuhusu kauli ya 'Chinjachinja' ya kada wa CCM, RPC asema atauliza kama ilikuwa na mahusiano mauaji ili hatua zichukuliwe

    Kauli za makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Arusha na Jijini Dar es Salaam zinazotafsiriwa ni za kuchochea uhalifu dhidi ya wafuasi wa vyama vingine vya siasa, zimeibua mijadala katika mitandao ya kijamii. Moja ya kauli hizo ni ile inayodaiwa kutolewa na kijana wa Umoja wa Vijana...
  16. I

    Nichukue hatua gani za kisheria dhidi ya benki ya CRDB?

    Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo mtu alikuwa ananidai kiasi fulani cha pesa. Sasa kwa uhitaji wake wa haraka akaniomba kama niko...
  17. L

    China yapiga hatua kubwa katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
  18. BigTall

    WHO, ILO: Hatua mpya zahitajika kukabiliana na matatizo ya afya ya akili kazini

    Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na tamko la pamoja la kisera la WHO na ILO, yanakadiria kwamba takriban siku bilioni 12 za kazi hupotea...
  19. chilumendo

    Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  20. Chagu wa Malunde

    Kwa mauaji yanayotokea vituo vya polisi kama vile polisi wamegeuka serial killers

    Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria. Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa kujinyonga selo za polisi katika mazingira ambayo tafakuri ikifanyika watu hawapati majibu. Tukio la...
Back
Top Bottom