hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga ichukuliwe hatua kwa uharibifu iliyofanya juzi uwanja wa Mkapa

    Juzi katika mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa, mashabiki wa Yanga waling'oa viti na kuwarushia mashabiki waliokuwa wanaishangilia Al Ahly. Inteligensia yangu imeniambia kuwa mashabiki wa Yanga walifanya hivyo baada ya kuudhiwa na kitendo cha mashabiki wa Al Ahly kuwasha moshi uliosambaa...
  3. JamiiForums Tanzania Syria imeanza hatua za mwanzo kujiunga katika vita kuipiga Israel

    Miongoni mwa mataifa muhimu katika ushirika wa kuiadhibu Israel ni Syria ambayo tangu vita vianze hapo Oktoba 7 walikuwa wako kimya. Kwa mara ya mwanzo leo wanamgambo walioko mashariki ya Israel na nyuma ya Jordan walirusha makombora machache kuelekea ndani ya Israel. Hakuna madhara...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yanga atafika hatua ya robo fainali tena kwa kujihakikishia nafasi mapema kabisa

    Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo kuna uonevu mkubwa kwa watumiaji wa Bima

    Mapema jana(Novemba 30, 2023), wagonjwa tuliokuja hapa hospitalini kutibiwa tulikutana na kadhia ya kutukanwa na muhudumu aliyekuwa chumba cha wagonjwa wa nje(OPD) wanaotibiwa kwa bima. Mhudumu huyo alituweka benchi tangu saa tatu asubuhi Hadi saa kumi na nusu jioni aliporudi akatuambia muda...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ajali za magari kugonga treni zinaongezeka. Wizara zinazohusika zichukue hatua

    Kwa utafiti wangu kiasi, kuna uelewa mdogo wa watumiaji wa vyombo vya usafiri wanapokaribia maeneo ambayo gari moshi hupita. Inawezekana baadhi yao hawana elimu ya mvutano wa vyombo vyao vinapokaribia gari moshi. Lakini pia Taasisi zote zinazohusika ikiwemo jeshi la polisi usalama barabarani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiona upo eneo fulani ila haupigi hatua, ebu jaribu kuhama hilo eneo

    Kuna aina ya mazao ambayo hauwezi kuyapanda katika Eneo fulani na yakakua na kustawi vizuri mfano hauwezi kupanda mpunga sehemu ambayo haina maji ya kutosha na ukakua na kustawi. Kimantiki na kimaana 👇 Hivi ndivyo zilivyo ndoto zetu kuna baadhi ya maeneo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye ushahidi au mfano wa BOT kuchukua hatua kwa watu binafsi na Taasisi zinazoto mkopo bila kuzingatia sheria ya huduma ndogo xa fedha?

    HIili swala la mikopo uumiza mitaani na na kwa njia ya online, limegeuka kilio na maumivu kwa watu wengi na ushahidi ni kuongezeka kwa nyuzi(thread) kuhusu mikopo umiza hapa hspa JamiiForums. Malalamiko haya hayajaanza leo, jana wala juzi, bali ni ya muda mrefu na bahati nzuri serikali ikaja na...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
  12. JamiiForums Tanzania Mwakibete CUP2023 Hatua ya Nusu ya Fainali Katika Jimbo la Busokelo

    MWAKIBETE CUP2023 HATUA YA NUSU FAINALI KATIKA JIMBO LA BUSOKELO Mashindano ya Kombe la Mwakibete CUP 2023 hatimaye yamefikia hatua ya Nusu Fainali ambapo yanayotarajiwa kuendelea kutimua vumbi tarehe 19 Novemba, 2023 Uwanja wa Lwangwa. Mashindano ya michezo ya Mwakibete CUP 2023 yameandaliwa...
  13. JamiiForums Tanzania MAKALA: Kuanguka kwa chama cha siasa kunaweza kuonyeshwa kwa hatua kadhaa

    Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Unaweza kubaini Habari Potofu kwa kufuata hatua hizi

    Habari Potofu ni Taarifa au Maelezo yaliyobuniwa kwa kuiga mtindo fulani ili zionekane zina ukweli au halisi. Taarifa hizi hulenga kuleta Athari fulani, kuzua Taharuki au kudanganya Umma. Unaweza kubaini taarifa potofu kwa kufuata hatua hizi: Tathmini (thaminisha) chanzo Hakikisha kwamba...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ifike hatua Tanzania tutoke usingizini sasa; tuinue soko la sanaa kwa kutengeneza filamu zenye hadhi

    Tumekuwa tukiangalia movies zenye story za kiafrica na kizungu pia, kama Hotel Rwanda Tears of the sun Sometimes April Border Sarafina Shaka ilembe Roots Zipo nyingi sana kuzitaja zote hapa zitajaza space tu; sasa twende kwenye hoja ninayokusudia kuiandika hapa. Sisi Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

    Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Waitara: Wote waliothibitika kuiba fedha za serikali wanyongwe!

    Msikile Waitara akitema cheche hapa Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Mama kanitukana nichukue hatua gani?

    Kuna vitu mama anataka kuforce ila kafikia hatua mbaya, napanga kumshtaki kwa wajomba zangu
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

    "Huu ni ushauri wa bure kwenu waungwana." Ni muhimu kuyatambua yafuatayo: 1. CHADEMA kimekuwa ni chama chaguo la wengi kwa muda mrefu. 2. Si kwa sababu ni chama bora sana, ila ni kwa kuwa kinayo nafasi ya kufanya maboresho. 3. Kwamba ndani ya changamoto zilizopo, hatimaye tutafika. 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…