hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Hata kama ungekua wewe ni Sabaya lazima ungejitetea alivyojitetea leo

    Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya, kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo, kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale...
  2. Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

    Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko? Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd...
  3. Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  4. L

    Ambao madeni yetu hayajabadilika hata baada ya kufutiwa VRF tujuane

    Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye Ukiuliza...
  5. W

    Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

    Ndugu zangu, Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda". Leo Rais Samia Hassan akijibu hoja hizi za "Katiba mpya" na Mikutano ya vyama vya siasa" kasema "nipeni muda nisimamie uchumi wa...
  6. Majibu ya Rais Samia Suluhu hata Kama yangekuwa uongo lakini Yanaridhisha

    Assalamu Aleykum Nimemsikia Mhe. Rais, Mama Samia Suluhu akiwa anahojiwa na Mwandishi, Salimu Kikeke. Kwa kweli Maswali yamejibiwa vizuri Sana. Nafahamu Siasa zilivyo, nafahamu mambo ya kiutawala Kwa kiasi kidogo, Kwa majibu ya Rais Samia ni wazi amejibu kwa kiwango cha juu mno. Ingawaje...
  7. B

    Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

    Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya. Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya. Mambo ya mbuni yametufikisha hapa. ---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe. Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho...
  8. Mo Dewji nakuheshimu, ila unakoelekea sasa utaharibu na utaanza hata Kutukera na Sisi tunaokubali 'Kutukanwa' kwa ajili ya Kukutetea Mitandaoni

    Mo Dewji leo utanisamehe sana Mimi GENTAMYCINE ambaye nina tabia ya kutopenda Unafiki, Kumnyenyekea Mtu, Kujipendekeza kwa Mtu au hata Kumuogopa Mtu hata kama ni Msomi sana su Tajiri mno na hata Wazazi wangu, Ndugu na Marafiki zangu wanalijua hili kwani ndivyo nilivyoumbwa na sitobadilka hadi...
  9. Kumbe hata UKIMWI tunaweza kupambana nao kwa chanjo

    Tumemezeshwa kuwa sababu ya kuwa hakuna chanjo ya kirusi cha UKIMWI ni kwa sababu kinabadilikabadilika sana. Lakini tumeona jinsi kirusi cha Korona kinavyobadilika badilika lakini bado wanasayansi wanakaza kuendana nacho, kwa kutengeneza chanjo mpya kila siku. natumaini tutakishinda hiki kirusi...
  10. Hata kama nikipata hela hawa mademu mastaa (wanajiita pisi) sitaki hata wazijue contacts zangu

    Yaani sijui ni mitandao na zile filter za apps.ndo zinawapa kiburi na kujiona wazuri, wajanja, watamu, matajiri. Sasa ukikutana nao show show duh, utabaki upaliwe mate kwa kucheka na mshangao....wapo kawaida hatari...ninavosema KAWAIDA naomba nieleweke vizuri..yaani wapo KAWA IDA...kiasi kwamba...
  11. Kenya ni hatari kwa kupiga pesa. Hata Wazungu wanatutambua

    Hii nchi ndogo ya Kenya inaogopwa hata na Wazungu. Wakenya kwa kutafuta pesa ni hatari sana. Sasa wanafunzi lazy wa Marekani ambao hawataki kufanya homework huwa wanatuma homework huku Kenya ili vijana wa Kenya wawasaidie kufanya homework yao. Hata mitihani pia Wakenya wanafanya kwa niaba ya...
  12. Z

    Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

    Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
  13. B

    Corona: Bila Barakoa Dar, Hupandi hata Daladala

    Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya. Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko. Hili si ombi bali rasmi ni lazima. ----- My take: Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole...
  14. Bila Rais kuwepo uwanjani Simba haiwezi kuipiku Yanga hata ikishinda mechi.

    Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa yasiwe makubwa sana kama ya tarehe 3 July. Sijui kama hili wanalifikiria
  15. A

    Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

    Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
  16. Wananchi tumekuwa tukiingilia Uhuru wa Mahakama, tubadilike

    Kumekuwa na tabia kwa wananchi kusema katika mihimili ya serikali, kuna muhimili mmoja huwa unaingilia mamlaka za mihimili nyingine. Mihimili inayotambulika hadi sasa ni Serikali Kuu(Executive), Bunge na Mahakama. Lakini kwa kiasi kikubwa wananchi wamekuwa wakiingilia uhuru wa mahakama mara kwa...
  17. T

    Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

    Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
  18. Ujenzi wa miji na majiji bora: Tufanye nini kuboresha majiji yetu hapa Tanzania?

    Habari zenu wanaJF na wadau wa jukwaa la ujenzi. Nimesoma mada nyingi humu kuhusu ujenzi wa makazi. Makazi yakizidi tunajikuta na miji na hatimaye majiji. Kama ilivyo kwa nyumba abayo ikipangiliwa vibaya 'livability' yake inakuwa ngumu, basi miji na majiji ni hivyo hivyo. Kama mkazi wa Dar na...
  19. Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  20. S

    Power Tiller GT Shakti 880 hata mwezi bado ila tayari imevunjika diff

    POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana Naombeni msaada wa kupata hiyo Tube Housing ya Differential
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…