harmonize

  1. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Away by Marioo ft Harmonize 🔥🔥🔥

    2024 naona ime Anza kwa Kasi, nao marioo na harmonize Waka amua kutoa nyimbo mpya. 👉 Hi ni collabo yao ya pili, Baada ya ile naogopa. Nyimbo hii Ina kwenda kwa jina la away, aisee ni Nyimbo Kali mno. 👉Naona harmonize kampoteza marioo kwa Mara nyingine,
  2. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Harmo usije logwa kulazimisha game kwa Posh

    Wanajamii, Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni kwamba mwamba aende kwa tahadhari sana kwani kuna mashimo mengine ukiingiza kichwa chini unakuta...
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa msanii Harmonize

    Jamaaa anaimbaaaa aiseee 🙌🙌🙌🙌 Huu ni ushauri kwa Harmonize 1. Punguza Bangi 2. Kuwa na creativity upande wa collabo. Achana na wasanii wa hapahapa. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne. 3. Oa 4. Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba. 5. Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri. Yangu ni...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania HARMONIZE vs MARIOO

    Kwa kawaida tushazoea kuwa kwa masilahi mapana na usalama wa Verse yako usijaribu kumtanguliza "Marioo" katika ngoma. Pia wewe kama msanii usikubali kabisa "Harmonize" akikutanguliza katika ngoma ni lazima yawe mauajii humo ndani. Mjadala ulianzia katika "Naogopa" maneno yalikuwa mengi sana na...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Marioo kuwa makini na Harmonize

    Kufuatia picha waliyopost wasanii Harmonize na Marioo kuhusu ujio wa ngoma yao mpya, ningependa kumpa tahadhari Marioo kuwa Harmonize ni mtu mbad sana kwenye ngoma za kushirikiana na huwa hana huruma hata kidogo. Kama unabishana namimi jaribu kupitia wimbo wa "NAOGOPA" walioimba pamoja...
  6. Nifah

    JamiiForums Tanzania Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

    NI MTIKISIKO! Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho ‘Daktari’ na Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba. Kiungo huyo Mganda anayetajwa kama sehemu ya mafanikio ya Yanga kwa msimu wa tatu mfululizo sasa, na msanii...
  7. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania "Single Again" ya Harmonize yaingia tano bora ya Spotify Best Afrobeats Songs of 2023

    Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify.. Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa wimbo mkali utabaki kuwa mkali tuu hata usipofanya promo. Tujifunze kwa wanaijeria, hawana shobo na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

    D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

    Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo. Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k. Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule. Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

    Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara. Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msanii Harmonize ‘Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

    Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku wa Novemba 21, 2023. Watu hao wakashuka kwa lengo la kuelekea Uwanjani inaaminika wlaitaka kwenda...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Harmonize Aleta Msisimko Kariakoo: Biashara Zasimama, Mwendokasi Zasimama!

    https://youtu.be/rK1Y8GhcZFI = https://youtu.be/B_cAMoJBT5Q
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je Denzel ndiye chanzo cha penzi la Harmonize na Kajala kuvunjika

    Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu . Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

    Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize. Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka alijitahidi kwenda na upepo wa mashabiki fulani ambao ni haters wa WCB. Siku zimeenda mambo...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
  18. JF Member

    JamiiForums Tanzania Nasikiliza Nyimbo za Harmonize na Zuchu (Wakiimba kazi za Magufuli)

    Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne. Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa. Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

    Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini. Tanzania nzima inajua...
  20. Yahaya Abdallah Sadallah

    JamiiForums Tanzania SoC03 Lugha ya Kiswahili katika kanuni ya 'Archemedes'

    Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes mtoto wa Phidias ambaye pia alikuwa Mwanafalaki. Katika kipindi cha uhai wake kabla ya kuja...
Back
Top Bottom