Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje.
Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa Harmonize kila pande ya nchi anapoenda lakini alipopatwa na ugonjwa alipotafutwa Harmonize kwa simu...
Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako.
Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani unampiga beat kwamba utampiga kichwa na ashindwe kuamka.
Hii kauli aliyotoa Harmonize sio ya...
Msanii Anjella amemvulia uvivu boss wake wa zamani Harmonize baada ya kusema kuwa aliwabariki kiroho safi kwenda kutafuta Rizki sehemu nyingine.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) Anjella Amedai kuwa Harmonize ndio mtu anaeongoza kuwabania Rizki zao huku akisema anaweza kuweka hadi...
Ukisikia wiki ya Hit ndio hii, Ibraah wa Kondegang ameachia wimbo uitwao Dharau ambao ame shirikiana na Boss wake Harmonize nadiriki kuwa ambia ni kisanga, awa jamaa kwa Melody ni balaa yaani ni hatari tupu,
Ngoma inapanda Tending kwa speed ya 5G uko mjini Youtube.
.
Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang.
Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii,
"Nimekaa hapa...
Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii.
Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen.
Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi.
✍️ Mjanja M1
Tunaweza kusema kuwa Harmonize ni moja kati ya wasanii wanaomuenzi mchezaji machachari wa PSG Achraf Hakimi kwenye harakati za kukwepa kuibiwa mali na Wanawake wa mjini.
Range Rover ya Msanii Harmonize kwenye Registration number jina linasoma Habiba Chivalavala, hilo jina sio la mtu mwengine...
Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema,
"Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo
Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na...
Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia.
Ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:-
"Hii Itakuwa Mara Yangu Ya Mwisho Kuwa Mnyonge Kuwa...
Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza?
Written by Mjanja M1 ✍️
Yaani mdada kama Poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe Harmonize.😂
Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza mmempenda kuliko waigiza filamu wa Hollywood, nje mnaonesha mnampenda kumbe moyoni mko tofauti...
Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality.
Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
Msanii Harmonize amepost video inayomuonyesha akifanya jambo ambalo sio la kawaida kwa walio wengi.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je, wewe unaweza kukunja nguo za mpenzi wako na kuzipost mtandaoni?
Written by Mjanja M1 ✍️
Finally Msanii Harmonize ameuachia wimbo wake wa "I made it" ambao kawashirikisha wasanii Bien wa kenya na Bobby Shmurda toka States.
Huu wimbo ulikuwa unasogezwa siku mbele kuachiwa, sio mara moja bali ni mara nyingi, na hapo juzi kati Harmonize alisogeza mbele kuutoa baada ya msanii Diamond...
Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri.
Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani.
Hii ndio post Harmonize...
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it"
Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue.
Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.