Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
1684826013120.png

Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha.

Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini.

Tanzania nzima inajua Harmonize aliyumbisha image yake kwa kuendekeza drama za awa kina ndala ndefu mtu na mama yake. Damage control ya lile tukio la kuonesha mashine inamsumbua Konde mpaka leo japo nae ni chenga kichwa maji ila lile tukio ni funzo kwa wasanii wengi maana pale ndio mzee small alianza kupoteza upepo wa pesa akabaki mtafuta likes za insta. Moja ya sababu Hamo kuyumba uchumi ni awa mapacha wawili mtu na mama yake.

Naona Rayvanny balozi wa kampuni kubwa zisizotaka kuhusishwa na uchafu uchafu anataka kunasa kwenye mtego alionasa swahiba wake na wanaume wengi hapa mjini.

Kaa mbali na drama zisizoongeza value kwenye brand yako. Endelea kuwa Rayvanny asiye drama boy. Hao mtu na mama yake ni fungu la kukosa hakuna aliyewai kaa nao karibu akastawi. Marioo ameenda kutafuta nyota ila uchumi mdogo aliokuwa nao soon atatubu. Kuna watu wana nyota za dhiki sio wa kuendekeza. Kuwa muangalifu!
 
P Funk siku akiamua kubeba panga kuuwa wote waliomchezea mwanae mpaka Diamond Platnum tunazika
Pfunk ashazeeka ameamua akae kimya kama baba wema maana watoto wale hana la kuwafanya na mwenyewe alithibitisha kuwa wana ela kwenye interview fulan aliifanyaga hapo wasafi kitambo
 
P Funk siku akiamua kubeba panga kuuwa wote waliomchezea mwanae mpaka Diamond Platnum tunazika
Hana WA kumuua yeye mwenyewe alokua mshenziii mnoooo...
Ray c na Kajala washapigana kisa Majani
Kashawaweka kinyumba K na Muny enzo hizo anawala kitanda kimoja
Yaani Huyu baba huko aliko sometimes nadhani analia Haki Tena
P kati ya waharibifu WA watoto WA kike
NAE alikua mmoja wapo
 
Back
Top Bottom