harmonize

  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Rajab (Harmonize) Vs Nasib (Diamond). Nani tumkabidhi tuzo 2023?

    Kutokana na mchango wao wanaouonesha katika taifa, hasa ule wa kuitangaza nchi yetu nje ya mipaka, hatuna budi kuwapa motisha kutokana na kazi nzuri waifanyayo Mimi pamoja na jopo zima la sanaa X na tuzo bora Afrika mashariki, kwa kushirikiana na baraza la sanaa nchini, hatutoishia kuwaalika...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Diamond kamchapa kijembe Harmonize kuhusu kumiliki Range Rover?

    Baada ya Harmonize kutoka hadharani na kutamba kwamba, hataongea na Msanii yeyote wa Afrika Mashariki ambaye hamiliki gari aina ya Range Rover! Leo Diamond Platnumz ni kama amerusha kijembe kwa Kondeboy kupitia insta story yake. Chibu ameweka video ya Zuchu ambaye amejinunulia gari aina ya...
  3. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Harmonize ndiye King wa Bongo Fleva kwa sasa

    Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa. Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa, hii playlist yake hapa chini itakufanya usuuzike moyo: 1. Single Again 2. Wote 3. Leave Me Alone ft...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania "Single Again by Harmonize: A Hit Song with Captivating Beats, Lyrics, and Video"

    "Single Again" by Harmonize is a popular Afro-pop song that has taken the music world by storm. The song, which is produced by Dj Tarico and released under DK Company Ltd, is accompanied by an incredible music video directed by Director Kenny. In this essay, we will explore the elements that...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

    Wasalaam JF, Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kati ya Harmonize na Diamond nani ana nyimbo nyingi in total?

    Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album...
  8. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Harmonize amemkosea Mungu sana kwa hili alilolifanya

    Unamsujudia vipi MWANADAMU mwenzako 👇 sijui ulimbukeni au ustar ndo unamuendesha. Wamakonde manafeli wapi?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Diamond apewe shule ya kuimba kwa English na Harmonize

    Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu kuliko hata msaniii namba Moja wa Tanzania yaani Diamond Platnums ambaye hajui kabisa kuimba kwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania BASATA: Hatujapokea malalamiko ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki

    Baraza la sanaa Tanzania limekiri kwamba hawajapokea malalamiko yoyote ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki, Katibu wa BASATA amekiri Hilo baada ya kufanyiwa mahojiano na East Africa TV ameongeza kuwa sisi tunafanyia kazi malalamiko ambayo yamewasilishwa kwenye ofisi zetu official. Na...
  11. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Single Again, shikamoo Harmonize

    Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana
  12. master of cities

    JamiiForums Tanzania Nahisi hapa Harmonize anataka aje atupige na kitu Kizito

    Jamaa Ngoma yake anayotaka kutoa ameiweka kwenye awaiting mda Sana na imepata view laki moja , nahs akija kutoa Ngoma ataunganisha na Hz views ionekane Ngoma imetambaa Kwa mda mfupi na kupiga namba Kali ya views..... Nawaza tuu , wataalamu wa haya mambo mtujuze.
  13. Slowly

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

    Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny , Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
  14. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

    Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
  15. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  17. Brother Wako

    JamiiForums Tanzania Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
  18. bahati93

    JamiiForums Tanzania Harmonize hawezi baki salama ana talent kubwa

    Naingia moja kwa moja. Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo. Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr Harmo amefikia viwango vya hatari sana. Nimetoka kuangalia video yake: MWENYEWE, ameachia masaa machache...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Chupa la Taifa limetoka, "MWENYEWE" By HARMONIZE

    Wajumbe mko fresh. Mjeshi mwenzetu kashaachia chupa la Taifa, lipo YouTube. Kwa jina "Mwenyewe" Twendeni tukamsapoti mwana
  20. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

    Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala... Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala...
Back
Top Bottom