Diamond apewe shule ya kuimba kwa English na Harmonize

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu kuliko hata msaniii namba Moja wa Tanzania yaani Diamond Platnums ambaye hajui kabisa kuimba kwa kizungu.

Japokuwa Harmonize ametengenezwa WCB nilikuwa nikitarajia Diamond ndie aliemfundisha Harmo kuimba kizungu, lakini iweje WCB nzima Diamond na Mbosso tu ndo hawajui Kuimba kizungu, Zuchu anajitahidi na Rayvanny ila hawajafika kwa Harmonize.

Kati ya mawe ya Harmo aliyoimba kizungu ni pamoja na Single again, Influencer, bedroom, serious love, miss bantu. Namsihi Diamond amtafute Harmonize apewe shule
 
wewe Ukisikilizaga amapiano au ile mikito ya wa south unaelewaga?

Music is all about needs,shabiki anaangalia tu anakipata anachokita

kwenye mziki wako au lah,vingereza vyako peleka BRITISH council huku

kwenye burudani tunatingisha vichwa tu ndio mana unaweza nikuta niko

serious namsikiliza eminem anavyotoka speed na zile verse na bado nikamkubali

ila sijaelewa wala kushika chochote,its all about Vibe Kama umeimba kizungu

kikawa na vibe FRESH ukiimba chitaki chitaki ikawa na vibe Fresh pia,Ndio mziki huo.
 
Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu kuliko hata msaniii namba Moja wa Tanzania yaani diamond platnums ambaye hajui kabisa Kuimba Kwa kizungu.
Japokuwa harmonize ametengenezwa WCB nilikuwa nikitarajia diamond ndie aliemfundisha harmo Kuimba kizungu, lakini iweje WCB nzima diamond na mboso tu ndo hawajui Kuimba kizungu, zuchu anajitahidi na rayvanny ila hawajafika Kwa harmonize.
Kati ya mawe ya harmo aliyoimba kizungu ni pamoja na Single again, Influencer, bed room, serious love, miss bantu. Namsihi diamond amtafute harmonize apewe shule
Unateseka ukiwa wapi
 
Kijijini hata hapo jijini wamachinga wote hawajui kingereza. Lakini nyimbo zao ni akina Jzee,whiteney,J-Lo,2pac
 
Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu kuliko hata msaniii namba Moja wa Tanzania yaani diamond platnums ambaye hajui kabisa Kuimba Kwa kizungu.
Japokuwa harmonize ametengenezwa WCB nilikuwa nikitarajia diamond ndie aliemfundisha harmo Kuimba kizungu, lakini iweje WCB nzima diamond na mboso tu ndo hawajui Kuimba kizungu, zuchu anajitahidi na rayvanny ila hawajafika Kwa harmonize.
Kati ya mawe ya harmo aliyoimba kizungu ni pamoja na Single again, Influencer, bed room, serious love, miss bantu. Namsihi diamond amtafute harmonize apewe shule
Katika mtu asiyejua kuimba kwa Kiingereza hata kidogo nchini Tanzania(kwenye A list artists) ni Harmonize, Kiingereza kibovu, pronunciation mbovu yaani kiuhalisia anajiaibisha akiimba kwa Kiingereza.
Artists ambao wanaweza kuimba kwa Kiingereza katika A list artists ni Rayvanny labda kidogo na Zuchu, lata hata Diamond yuko juu sana kumlinganisha na mtu kama Harmonize ambaye hakuna kitu kabisa ni bora abaki kuimba kwa Kiswahili tu kwani upande huo ndiko anakokumudu.
 
Harmonize anaweza kuimba ngeri iliyoimbwa humuView attachment 2549554
Screenshot_20230313_214526_Spotify.jpg
 
Bila kuisahau "Outside" humo Harmonize kapita kama kazaliwa kwa Malkia kumbe Chitoholi
 
Back
Top Bottom