Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize.
Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka alijitahidi kwenda na upepo wa mashabiki fulani ambao ni haters wa WCB.

Siku zimeenda mambo yamebadilika haipo tena kama awali.
Watu kitaa hawakooi tena wala bodaboda huzisikii tena zikilia yao yaoh.

Sijui wenzangu mnashauri nini huyu msanii bado tunamhitaji naamini amejifunza mengi baada ya kuanza kuwa chini ya Sebastian Ndege lebo yake ni kama haipo tena.

Sasa nimeshtuka juzi naelezwa Harmonize uku kwenye show watu wamemkimbia.
Yani ukumbi umejaa masaki na yeye mitandaoni kashajitamba kafanya sold out ya mauzo na show ilikuwa ni yake pamoja na Sautisol.
Alimaliza maneno yote na kuahidi ataingia na Hamisa (kick za kitoto).

Baada ya Sautisol kumaliza show yao taratibu watu wakaanza kutoka mmoja mmoja. Mwisho Harmonize akabaki anaimbia viti.

Hii si ishara nzuri sana pamoja na mapungufu yake ambayo mengi yanasababishwa na ukijijini lakini bado tunahitaji lile vibe laekukohoa watu wanashangilia. Diamond katumia resources nyingi sana kumfikisha juu huyu dogo pengine kuliko msanii yoyote pale WCB na faida ameanza kuiona mwishoni wakati dogo anataka kumkimbia.

Wale ambao siku zote mmekuwa mnamshangilia basi mapema jaribuni kumpa ushauri sisi wajuzi wa hii industry kuna kitu tunakiona sio kizuri.

Video 📷 ya event kwa hisani ya bongo5

View: https://youtu.be/okOApZhB9F8?si=_G91WBLio9MxDVBT
 
Hahaha yani mtu anayepiga show namna ile na anapata show kama zile useme ameshuka kimziki?

Watanzania ni wajuvi sana wa kuongea sana hasa huyo jamaa wa bongo 5!
Uzuri ni kwamba Harmonize alitarajiwa kufa kimziki alipo WCB lakini imekuwa tofauti ndio maana mahangaiko ni mengi sana kuonesha ameshuka!

Go…go…Konde
 
Watu waliondoka wakati anaimba ukumbi ukabaki mweupe, hiyo ni fact labda kama kuna kingine unachobisha.
 
Harmonize na wasani wengine hii idea ya kutengeneza scandal kabla ya kufanya events ni ya kitoto sana.
Wasani waliofanikiwa kina burna boy hii kitu hawafanyi
 
Unless mimi ni Dre au nina kazi za kutosha au nimefanya mengi kwenye hii tasnia itakuwa kama muuza Butcher kumshauri Muuza almasi....

Hata akiishia hapa alochofanya ni more than majority...; Hayo mengine ni kupeana pressure zisizo tija..., All I can say enjoy life; na Sio kuwa Mtumwa wa Success....
 
Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize.
Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka alijitahidi kwenda na upepo wa mashabiki fulani ambao ni haters wa WCB.

Siku zimeenda mambo yamebadilika haipo tena kama awali.
Watu kitaa hawakooi tena wala bodaboda huzisikii tena zikilia yao yaoh.

Sijui wenzangu mnashauri nini huyu msanii bado tunamhitaji naamini amejifunza mengi baada ya kuanza kuwa chini ya Sebastian Ndege lebo yake ni kama haipo tena.

Sasa nimeshtuka juzi naelezwa Harmonize uku kwenye show watu wamemkimbia.
Yani ukumbi umejaa masaki na yeye mitandaoni kashajitamba kafanya sold out ya mauzo na show ilikuwa ni yake pamoja na Sautisol.
Alimaliza maneno yote na kuahidi ataingia na Hamisa (kick za kitoto).

Baada ya Sautisol kumaliza show yao taratibu watu wakaanza kutoka mmoja mmoja. Mwisho Harmonize akabaki anaimbia viti.

Hii si ishara nzuri sana pamoja na mapungufu yake ambayo mengi yanasababishwa na ukijijini lakini bado tunahitaji lile vibe laekukohoa watu wanashangilia. Diamond katumia resources nyingi sana kumfikisha juu huyu dogo pengine kuliko msanii yoyote pale WCB na faida ameanza kuiona mwishoni wakati dogo anataka kumkimbia.

Wale ambao siku zote mmekuwa mnamshangilia basi mapema jaribuni kumpa ushauri sisi wajuzi wa hii industry kuna kitu tunakiona sio kizuri.

Video 📷 ya event kwa hisani ya bongo5

View: https://youtu.be/okOApZhB9F8?si=_G91WBLio9MxDVBT

Habu tuone picha akiwa anaimbia viti
 
Dogo arudi tu Chitoholi akaroge tena 😂😂😂😂😂😂😂
 
kwa sasa chinno anafanya vizuri kuliko konde boy... arudi kwenye kilw watz walichompendea, umahiri wa kuandika na kuimba, na kuwa na nidhamu ili kutojenga makundi na mabifu.
talent anayo sema umwakinyo una mponza
Hana talent huyo ,kila kitu ilikuwa copy & paste kutoka kwa Diamond Platnumz ,kwa ssa hayupo karibu naye ubovu wake unaonekana wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom