Je Denzel ndiye chanzo cha penzi la Harmonize na Kajala kuvunjika

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,194
Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu .

Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya msingi kwa nini waliachana zaidi na zaidi Harmonize alikuwa anatupa tu majibu ya juu juu mara oooh nimefumania meseji za mapenzi kutoka kwa Kajala mara oooh imeenda ikarudi mwisho wa siku tukawa hatujui tushikw lipi ,tuache.

Sasa naona leo katupa muangaza tujue wapi pa kuanzia .

Sisi kazi yetu kuanganisha doti tu mpaka tujue mbivu na mbichi ,na huo ndio ukubwa wenyewe huo sio lazima tufunguliww code nzima .

Ngoja tumnunulie bia alewe tumchokonoe vizuri atupe mkanda kamili ilikuwa kuwaje 😂😂😂😂😂😂😂😂


-263274532.jpg
 
Yule ni demu wa wote asingechukuliwa na Denzel angechukuliwa na mwingine. hajaanza leo hivyo mmkonde kachelewa kujua hilo.
 
Back
Top Bottom