Mamlaka za serikali zimekuwa kero kubwa kwa wananchi. Uliza across the board labda kama wewe ni mlamba asali au familia zao.
Kuna hoi hoi na nderemo kuwa zakusanywa 2Tn/- Kwa mwezi. Humo zimo tozo batili zinazoambana na tozo za Mwigulu, faini za yanayoitwa makosa mbalimbali hata ambayo ni...
Jeshi la Polisi nchini limeteketeza silaha haramu 6,208 ambazo zilikusanywa wakati wa kampeni maalum ya wananchi kusalimisha silaha hizo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuongeza nguvu kudhibiti uingizaji silaha haramu ili kusaidia...
Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo!
Lakini wakikosea wao...
Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ametoa kilio cha mlundikano wa wahamiaji haramu katika magereza yaliyopo katika mkoa huo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan hii leo.
Akizungumza mbele ya Rais Samia ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya siku mbili, mkuu huyo wa mkoa amesema kwamba mkoa huo una...
Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha.
Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
Usafirishaji Haramu wa Binadamu unatajwa kuwa janga linaloendelea kukua, hususan kwa Wanawake na Wasichana ambao ni wahanga wakubwa
Mapigano, Mabadiliko ya Tabia Nchi, Umasikini na Ukosefu wa Usawa vimeacha Mamilioni ya watu bila matumaini. Wanaofanya Biashara hii haramu wanatumia changamoto...
Sakata la Loliondo lachukua sura mpya baada ya Serikali kuamua kutumia kigezo cha Uhamiaji Haramu ili kuwaondoa wamasai kwa nguvu kwenye eneo hilo alilouziwa mhamiaji kutoka nchi za kiarabu na kusababisha mgogoro mkubwa kwa wananchi na serikali.
Mama Samia Rais wetu mpendwa tunaomba ingilia...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wavuvi Nchini, Bakari Kadabi amesema Kuporomoka bei ya samaki kutapelekea kufilisi mitaji yao na kuchochea uvuvi haramu kwasababu italazimika wavuvi wahakikishe wanapata samaki wengi ili wapate kipato kikubwa
Aidha, ameiomba Serikali kuingilia kati mabadiliko ya bei za...
Baada ya ripoti ya BBC Africa Eye kufichua kupangwa kwa utoroshwaji wa watoto walemavu kutoka Tanzania hadi Kenya na kugeuzwa omba omba, nchi hizo zimeahidi kufanya kazi kwa karibu kutokomeza biashara hiyo
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti, Takwimu na Ukarabati wa Sekretarieti ya Kupambana na...
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.
=====
Polisi Dodoma...
Kitengo cha kudhibiti fedha haramu Nchini Tanzania kimeelemewa na miamala iliyotiliwa
mashaka ambayo inatakiwa kufanyiwa uchunguzi.
Hayo yamebainishwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Omary Kigua, Juni 7, 2022 Bungeni Jijini Dodoma akiwasilisha taarifa ya kamati...
Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika.
Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa wilaya Sengerema mwendo ni uleule.
Kumbe usimamizi wa sheria za nchi hutegemea na mkuu wa nchi aliepo...
Tanzania na Uingereza zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakiwemo watoto hasa maeneo ya mipakani.
Hayo yamebainika Aprili 04, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Vicky Ford...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu.
Kundi hili la...
Moja kwa moja kwenye hoja. Kinywaji hiki cha 'mnazi' ni maarufu sana na kinatumiwa kwa wingi katika ukanda wa pwani wa nchi yetu ambao kwa kiasi kikubwa una idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu.
Kwa kuwa kinywaji hiki kina 'ulevi' ndani yake, yaani kwa kunyoosha maelezo ni pombe, na kwa...
Na Fadhili Mpunji
Katika siku za hivi karibuni kiongozi wa Taiwan Bibi Tsai Ingwen na anayejitaja kuwa ni waziri wa mambo ya nje wa Jimbo la Somaliland Bw. Essa Kayd, walikutana huko Taipei katika ziara ambayo Bibi Tsai Ingwen ameitaja kuwa ina lengo la kuimarisha urafiki na ushirikiano kati ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu kumi na moja [11] raia wa nchini Rwanda na Burundi kwa kosa la kuingia nchini bila kuwa na kibali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameeleza kuwa wahamiaji hao walikamatwa mnamo Februari 7, 2022 majira ya saa 12:00 jioni...
Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu
Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.