haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kuna Wabunge 37 ‘haramu’ bungeni ambao hawatambuliwi na Katiba

    Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge, 1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni. 2. Wabunge wanawake wa viti maalumu. 3. Wabunge wa kuteuliwa na rais. Hao wasio na vyama na waliopita bila kupingwa wameandikwa kwenye...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sigara Vs Bangi: Kwanini bangi haramu na sigara si haramu?

    Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi? Tafiti zimeonyesha sigara ni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu zenye kufadhiliwa na Mamlaka za Serikali

    Mabibi na mabwana sasa hii nikiwa mjini kurejea maskani tokea hija - kanda pendwa. Safarini vituko ni vingi tokea kwenye operation kukusanya 30,000/= @ gari hadi biashara haramu chini ya mamlaka za serikali alimradi kazi inaendelea. Operation kusanya pesa nilileta uzi kamili...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamata Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 katika kipindi cha miezi 3

    Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma. Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Samaki wapungua kwa sababu ya kushamiri uvuvi haramu, wawekezaji walalamika

    Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu. wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wote wanaotumia na wanaopokea ruzuku ya haramu ni haramu

    Kama hawa wabunge wanaoitwa COVID -19 ni haramu ni kwa nini Chama kinapokea (kama kinapokea) ruzuku inayotokana na watu haramu wanaovunja ibara ya 78(e) ya Katiba ya JMT inayotabanaisha kuwa ili mtu awe mbunge ni lazima atokane na chama cha siasa? Bila shaka hii ni danadana tu ilihali akina...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Pombe haramu ya gongo inaweza kufanyiwa processing kitaalamu ikawa pombe halali?

    Habari wakuu, Hili swali nimekuwa najiuliza kitambo. Pombe ya gongo ni haramu na inawaangamiza raia wengi kiafya. Pamoja na kupigwa marufuku lakini bado inatengenezwa na kuuzwa kwa kificho. Hakuna mchakato wa kitaalamu wa kuipitisha pombe hii kwenye mitambo ya kisasa ya distillation na kupata...
Back
Top Bottom