haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rai: Serikali ifanye uchunguzi wa haraka Mkoa wa Kilimanjaro na kuyeyuka theluji mlimani. Yawezekana ni Sabotage

    Joto linalotishia mazingira ya asili ya Mlima Kilimanjaro ni questionable! Ongezeko la joto hadi 40+ kwa siku za karibuni ni kiashiria cha mpasuko mkubwa wa Ozone layer kwa anga linaloambatana na eneo hilo. Kwa uelewa wangu mdogo wa kinachoitwa"global warming" na effects zake siyo regional...
  2. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

    Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja. Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini. Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Florens Luoga abadilishwe haraka

    Nasikitika sana kwa kushidwa kazi aliyopewa gavana wetu wa bank kuu Florens Luoga. Huyu gavana ni chaguo baya sana ambalo limewahi kutokea. Tujue tu kwamba huyu professor ni mwanasheria na sio mwana uchumi au mhasibu. Nashauri apewe Prof Mussa Assad kwa muda wa mpito. Sababu moja ni kwamba bank...
  4. JamiiForums Tanzania Wimbo Huu unasafisha Na kupandisha nyota haraka Sana . Unatoa Na kufukuza mapepo yote. Unavunja Kila maagano mabaya Na kuharibu Kila madhabahu ovu

    HII Ni kwa waamini tu. Kuna watu ( wakristo kwa waislamu) huwa wanafikiria kwamba ili kuondokana Na Shari Za Ibilisi Ni lazima wapige Dua nzito, visomo vizito vizito, maombi mazito nakadhalika. Ni Kweli WaPo sahihi Dua,visomo, maombi vinasaidia Sana katika kupambana Na Shari Za Ibilisi but...
  5. JamiiForums Tanzania Hamisha pesa directly toka payoneer mastercard kuja airtel money haraka

    Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida. Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja airtel, hivyo unaweza tumia njia hiyo hamisha pesa toka payoneer account kuja airtel...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu wa haraka

    Ndugu wanajamii, nawasalimu. Mimi ndugu yenu nina shida na ninahitaji msaada wenu ili niweze kukabili hii hali inayonisumbua. Tatizo langu ni kukata tamaa mapema, siwezi kupigania kitu nakipenda na kukihitaji na mpaka sasa naona nitapoteza mwelekeo. Niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

    Wasaalm wanabodi Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana. Niko Morogoro mjini. Mnakaribishwa PM Picha Update* November 8, 2021 Wakuu nashkuru sana kwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  9. JamiiForums Tanzania Siku zinaenda haraka sana

  10. JamiiForums Tanzania Ilikuaje Power Kaaya kuhukumiwa haraka kwa kesi ya ugaidi?

    Hivi ilikuaje Power Kaaya aliyemaliza kutoa ushahidi leo mahakamani yeye na mwenzake walikamatwa haraka, wakashtakiwa haraka na kisha kuhukumiwa haraka kwa kesi ya Ugaidi bila kuunganishwa na Wenzake hawa kina Mbowe na Walinzi wake? Kwani kwa ushahidi huu aliotoa mbona hakuna utofauti wa kesi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi. Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku. Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

    Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele yetu. Wadau wengine mlete maoni yenu kwa muda huu tu mchache mnao tazama huu mchezo wa simba na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; Tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka

    Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka

    Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

    Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima. Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini. Katika press yako njoo na approach nzuri...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya Pharmacy, Shop na Haircut salon ni biashara gani inayoweza kumletea mtu mafanikio ya haraka na ya uhakika?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata...
  17. JamiiForums Tanzania Kama wewe unayo Degree na hauna ajira chukuwa vyeti vyako kamuone Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Chap kwa Haraka

    Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

    Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao. GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nifanye nini ili nisipoteze hela zangu nilizowekeza Kenya

    Naombeni ushauri wa nini cha kufanya kwa haraka ili nisipoteze hela ambazo nimezituma kwa a Company in Kenya nimefanya manunuzi ya simu. Katika makubaliano ilikuwa kwamba nilipe advance/deposit ya 50% cost ya simu ili waweze kuituma na nikishaipokea hapa Dar nitalipa balance 50% iliyobaki. Sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…