Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa.
Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu.
Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja.
Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa.
Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini...
Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu.
Mahakama mnakwama wapi? First in first out.
Haki ni kwa wote.
Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria.
Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe...
Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour?
Wenye wivu wajinyonge.
Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga vs Gwambina msimu uliopita akiwa kocha mkuu pale alipo wapumzisha wachezaji muhimu eti...
Utangulizi
Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k
Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya:
Sifa
1. Uwezo wa kutumia computer...
Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika.
Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
Heri ya siku kuu na mapumziko,
Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro.
Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
Wadau Nawasalimu
Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba
Didier Gomes arejeshwe kundini haraka
Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule
Hakukuwa na sababu ya kuachana naye
Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato!
Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota!
1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi!
Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi...
Wakuu salaam,
Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu.
Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea kidogo na kukaza Tena.
Ni tatzo limekua likintokea Mara kadhaa huko nyuma pia
Sijaumia Wala kuanguka...
Salamu wanajukwaa,
Baada ya salamu nijielekeze kwenye mada. Kuna kijana hapa alikuwa kwenye mchakato wa kuoa, amechumbia, amelipa mahari kama M 1.5 na maandalizi ya ndoa yalikuwa yamepamba moto.
Kila kitu kuhusu maandalizi ya ndoa kilikiwa kimekamilika siku Saba kabla ya ndoa binti amekataa...
Ndiyo,
Tunaitaka haraka sana hiyo nidhamu ya uwoga ambayo Leo tunaona ilikuwa na mapungufu na haifai kumbe iliweza kuzuia ufisadi MSD
Nidhamu ya uwoga ndiyo iliyoleta ufanisi Mkubwa na usimamizi mzuri wa kodi za wananchi karibu kila pahala
Haitoshi tuu kuwa kiongozi sehemu Fulani na uongozi...
Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje?
Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa.
MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA.
Ninawaomba sana wana JF
Msaada jamani shemeji/wifi yenu anasumbuliwa na tumbo muda sana tumeenda hosptali tofauti wakashauri aache kinga za uzazi wa mpango.
Amecha na kupewa madawa tofauti tofauti lakini maumivu ya tumbo kichwa ayaishi kama kuna mtu anatiba mbadala anisaidie jamani
Asanteni sana
Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti,
Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa
Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu
1. Mpaka sasa week Jana natoka...
Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja.
Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu.
Kwakuwa zuchu Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.