Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida.
Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja airtel, hivyo unaweza tumia njia hiyo hamisha pesa toka payoneer account kuja airtel.
Nimejaribu baada ya kupokea msg nikahamisha tshs 10000 airtel wameniambia gharama ni tshs 400 na kwenye payoneer imepungua usd 4.64 ikiwa ina maana inajumuisha gharama ya tshs400 humo.
So kwa wale ambao wanahamisha pesa ndogo ndogo ambayo kuwithdraw atm ilikuwa haiwezekani sasa inawezekana maana payoneer haijalishi unatoa bei gani wanakata between $7-13.
Pia nimejaribu kwa lak 5 nmeona gharama ni tshs 25000 wakati kwenye atm za dar nyingi zinatoa 400000 so itakulazimu uwithdraw mara mbili ambapo gharama itakuwa $13+8=21 ambapo bado ni ghali.
Sema nimeona no cheap kwa pesa ndogo maana ukitoa ikaja airtel kwa pesa nyingi ukienda tena kwa wakala utakuta unarudi kule kule kwenye gharama.