haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Kaze anaihujumu Yanga, mtimueni haraka sana kwa mustakabali wa klabu

    Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga vs Gwambina msimu uliopita akiwa kocha mkuu pale alipo wapumzisha wachezaji muhimu eti...
  2. data

    NBS hizi errors haziwi fixed.. rekebisheni haraka..

    Rekebisheni...watu wanataabika.
  3. M

    Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  4. M

    Kocha Pablo Kagombana na Clatous Chama wapatanishwe haraka kwa Faida ya Simba SC

    Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
  5. A

    Prof. Shivji: Kwanini zoezi liwe la haraka kuwahamisha? Ni kweli Wamaasai wameshirikishwa?

    Heri ya siku kuu na mapumziko, Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro. Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
  6. U

    Nashauri kwa maslahi mapana ya Simba kocha Didier Gomes arejeshwe Msimbazi haraka

    Wadau Nawasalimu Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba Didier Gomes arejeshwe kundini haraka Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule Hakukuwa na sababu ya kuachana naye
  7. D

    Serikali (NEMC na TCRA) kuna pesa za bure hapa wala msijiulize mara mbili

    Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato! Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota! 1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi! Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi...
  8. I

    Msaada wa haraka: Nasumbuliwa na goti

    Wakuu salaam, Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu. Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea kidogo na kukaza Tena. Ni tatzo limekua likintokea Mara kadhaa huko nyuma pia Sijaumia Wala kuanguka...
  9. PromiseLand

    Msaada: Binti aahirisha kuolewa siku saba kabla ya ndoa; wazazi wake hawana uwezo wa kurudisha gharama za mahari na maandalizi ya ndoa

    Salamu wanajukwaa, Baada ya salamu nijielekeze kwenye mada. Kuna kijana hapa alikuwa kwenye mchakato wa kuoa, amechumbia, amelipa mahari kama M 1.5 na maandalizi ya ndoa yalikuwa yamepamba moto. Kila kitu kuhusu maandalizi ya ndoa kilikiwa kimekamilika siku Saba kabla ya ndoa binti amekataa...
  10. P

    Nidhamu ya uwoga iliyozuia wizi kwa Manunuzi pale MSD, ndiyo tunaitaka haraka sana irejee!

    Ndiyo, Tunaitaka haraka sana hiyo nidhamu ya uwoga ambayo Leo tunaona ilikuwa na mapungufu na haifai kumbe iliweza kuzuia ufisadi MSD Nidhamu ya uwoga ndiyo iliyoleta ufanisi Mkubwa na usimamizi mzuri wa kodi za wananchi karibu kila pahala Haitoshi tuu kuwa kiongozi sehemu Fulani na uongozi...
  11. U

    Msaada wa haraka kuhusu ugonjwa huu wa bata

    Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje? Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa. MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA. Ninawaomba sana wana JF
  12. kagombe

    Msaada: Mke wangu anasumbuliwa na tumbo

    Msaada jamani shemeji/wifi yenu anasumbuliwa na tumbo muda sana tumeenda hosptali tofauti wakashauri aache kinga za uzazi wa mpango. Amecha na kupewa madawa tofauti tofauti lakini maumivu ya tumbo kichwa ayaishi kama kuna mtu anatiba mbadala anisaidie jamani Asanteni sana
  13. britanicca

    Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti, Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu 1. Mpaka sasa week Jana natoka...
  14. royal tourtz

    Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

    Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja. Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
  15. U

    Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  16. R

    Popote nilipo nawezaje kuzitambua pande kuu nne za dunia?

    Naomba kujua nitatambuaje dira za dunia ie nikisimama mahali popote nitajuaje kuwa West ni huku, East North and South.
  17. Heaven Seeker

    Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
  18. Baba Rhobi

    Watumiaji wa Xiaomi Redmi na yeyote anayetumia smartphone msaada wenu wakuu yamenifika

    Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika. Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo...
  19. Y

    Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

    Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
  20. Analogia Malenga

    TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
Back
Top Bottom