Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

master of cities

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
429
620
Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa ...!! Waliokuwa kwenye battle zone Walitoa taarifa kuhusu Hali ya mapigano , intensity , wapi palipopungua , silaha gani miyeyusho na silaha za namna gani ziboreshwe , haya maoni ni katika idara zote za kijeshi kuanzia jeshi la ardhini ( marine) jeshi la majini (US navy) , na jeshi la anga (Airforce) , Marekani ilianza vita kama underdog Ila ikamaliza ikiwa superior and most feard nation.

Aliyeko front anajua exactly the horror of war...!! Kutomsikiliza Kwa sababu iwayo yoyte ile ni kuhalalisha kushindwa.

Back to the topic , Mimi ni karani wa Sensa , katika mchakato mzima wa zoezi hili karani ndo mtu wa mhimu zaidi kuliko wote , yeye ndo anashuhudia Kwa usahihi what is real going on na kipi ni sahihi na wapi pa kurekebisha ,

Nipongeze serikali Kwa kuja na idea Bora zaidi ya kuendesha zoezi hili na Kwa kweli likifanikiwa hata Kwa 80% serikali itakuwa imekula bingo , aliyeleta mchakato Kwa idea hii nampa salute ,

Hata hvyo mchakato ni costful , Kwa haraka more than 600tsh billion zitaperish away kwenye huu mchakato , hela nyingi Kwa nchi hii ya kimaskini ...

In reality zoezi ni gumu hasa , linahtaji angalau semi skilled workers with high commitment , Viongozi wa ngazi za juu wamehamasisha Kwa nguvu zote huku mzigo mzito akiangushiwa karani , ...

Kwa maoni yangu makarani wengi mbali na kufanya kazi ya kuchosha bado Wana moyo wa kufanya na mwitikio ni mkubwa , tatizo ni matumizi ya software ya CS entry kwenye tablet , hii ni changamoto kubwa sana

Baada ya kufanya mazoezi changamoto hii imeonekana kuwa ni deadliest na itaharibu mchakato mzima kama haitafanyiwa kazi , nasema haya Kwa moyo wa kizalendo kabisa , makarani tulileta taarifa na tatizo kubwa karbu Kwa makarani wote ni hii software hasa matumizi ya ramani na uwepo wa GPS.

Imagine karani umetembea Kwa moyo mmoja mpak kwenye Kaya fulan mlimani , umefika unammkuta mama anafua akakupokea Kwa moyo mmoja akaacha kazi yake, ukatazama ramani ukajihakikisha GPS inasoma kwenye ramani , ukafungua dodoso la Kwanza , akaanza kukupa taarifa za waliolala kwenye Kaya ambao ni 12 , takriban masaa mawili umekaa naye akikupa taarifa , umemaliza unatafuta majira unapata , unasave unajikuta imesave nje ya ramani , .....!! Kwa mjibu wa Sensa hyo kazi yote inakuwa ni useless ,unatakiwa uende Kwa msimamizi ufute kazi yote akutumie mchakato upya na uende tena kwenye Kaya hyo uanze mahojiano upya ,

Cahangamoto zaidi inakuja kama Kwa sku nzima umehoji kaya 10 , na kaya 9 zote majira nukta (GPS ) yamesoma ndani ya ramani na moja imesave nje ya ramani Kwa mfumo wao wa software , hzo kazi zote zinakuwa invalid inabdi ufute kazi zote uwekewe kazi upya na uende ukarudie mahojiano upya kwenye Kaya zote , na endapo itatokea the same scenario , itabd ufute tena uanze upya .. ni kazi ngumu na ya kuchosha hasa kipindi hiki cha kiangazi , na kimbembe ni kuwa maeneo mengi karani ni mmoja Kwa kila kitongoji , ni mzigo mzito sana...ni uzalendo tuu utakaofanikisha hili zoez and not otherwise

Nawaambia live hakuna karani atakubali kufanya such kind of fucking process , tegemeeni data za kupikwa na zoezi Zima litapoteza maana ...

Tulileta mrejesho tukiwa na option Bora za kuboresha mana lengo ni kufanikisha , nikashangaa IT wa wilaya anajibu shit bila kujua Kwa undani hyo critical condition huku akitutisha makarani , ....

Kwa Sisi ambao tuko kwenye battle field tukawaambia wakubwa wetu kuwa huko juu ma IT wa Taifa wakeshe kuhakikisha wanaboresha hyo application ili iwe na option zifuatazo :-

1. Wakati ninahoji Kaya basi kuwe na signal kwenye tablet kama dot hvi au whatever yenye rangi ya kijani ili kuni-alert kuwa GPS inasoma ndani ya 3 meters kutoka pale nilipo...na kama sivyo ionyeshe rangi nyekundu kunitahadharisha kuwa GPS inasoma wrong place hvyo nifanye mchakato wa kuiweka Sawa

2. Option ya pili , in case ikatokea Kaya moja nimesave nje ya ramani , na Kaya zingine let say Kaya 10 zimesave ndani ya ramani basi kuwe na option ya kuiweka pending hyo Kaya moja , ili zingine niweze kuzituma alaf iliyozingua hyo moja ndo nirud badala ya kuzifuta zote na kuanza upya ....

Cha Kushangaza IT alisema tusitegemee option za namna hzo Bali tuongeze umakini,
Changamoto iliyopo ili GPS isome mahali uliopo unahtaji ufate step zaidi ya tano , hapo bado accuracy yake ni 70 % bado lolote laweza kutokea , na pia ni ngumu kufanya kazi kuanzia asubh mpak jioni ukafanya Kwa usahihi , kuna kujisahau ukapata error hyo , Yani hakuna option ya kurekebisha hyo moja, bali data zote zinakuwa nullified ....

Kama Hali ikiendelea hv , nini makarani wataenda kufanya , nimeenda let say Kaya X , nimehoji nikaambiwa wanakaya wamelalal 13 , nikajikunja kizalendo karbu hata masaa 2 au 3 kupata data Kwa usahihi , zen ikasave nje ya Raman , kurud tena Kwa mwanakwaya Yule umuachishe tena kazi yake ni bonge la nouma , nitakachokifanya nafuta hyo kazi sahihi , badala yake naenda kwenye hyo kaya nasimamia nje getini , napika data , ili nisichoke najiandikia watu 2 wamelala pale , ili nisave nitoke , na hzo tayar zinakuwa data ambazo ni invalid ...

Na hii kwenye mazoez watu wamefanya Sana , dada mmoja kahoji Kaya ya Kwanza ikasoma ndani ya ramani , nakahoji ya pili ikasoma nje , ikabd afute msimamizi amwekee kazi na Raman upya , akahoji tena moja ikakubali nyingine ikasoma nje , dada alitaman kulia , akaenda Kwa msimamiz akafutiwa kazi na kuweka ramani upya , dada alichokifanya akaenda sehemu akapika data , zikasoma ndani ya ramani akaleta Kwa msimamizi akapokea akatuma makao makuu data ambazo ni invalid ....

Mlioko juu jitahdini hili tatizo mlitatue , la sivyo huko kwenye viyoyozi , hao viongozi walioko huku wanawadanganya kuwa zoezi lipo poa but in reality ,ni disaster inaenda kutokea .....
SAVE_20220811_103007.jpg
 
Sasa kama kazi ndio hiyo inahitaji akili kidogo vipi kwa wale waliopitishwa usaili kisa undugu na kujuana na mtu hajawahi miliki smartphone maisha yote ataweza vipi hili zoezi wakati wengine vichwa vyao vizito hata uwafundishe miezi 6?

Nina uhakika na hili na ushahidi upo wa kutosha
 
Wewe ni mzalendo ila kwa bahati mbaya hawatakusikiliza sababu lengo la serikali yetu si ufanisi wa kazi bali kumaliza kazi, data zingine wataenda kuzipika na kuzichekecha wenyewe huko. Umeeleza kwa namna ambayo hata sisi ambao hatuko huko tumeelewa na tumezielewa changamoto na hakika si za kupuuza. Kama mtu yuko familiar na mambo ya data atamuelewa vizuri mleta uzi.

Lengo la teknolojia ni kurahisisha kazi, iweje hili liwe gumu huko? Hilo li application wamelitoa wapi, wao walipolifanyia mazoezi hawakuona hizo errors? Hawana consultant mwenye uzoefu na mambo ya data? Serikali inaweza kupoteza pesa nyingi sababu ya uzembe wa watu kama hawa waliopewa jukumu la kusimamia zoezi zima.
 
Kwa namna sensa inavyoendeshwa nchi hii, ni mradi wa upigaji. Tuna wajumbe wa kazi gani kama hawajui idadi ya kaya zilizopo kwenye maeneo yao pamoja na idadi ya watu kwa kila kaya?

Badala ya kutumia billions of taxpayers ' money, kwanini wasingepewa wajumbe wa nyumba kumi hii kazi wakaifanya taratibu hata kwa miezi kadhaa huku wakipewa posho?

Wizi mtupu!
 
Ndugu we acha tuuu , hii nchi
 
Inakuwa kama vile Pilot Survey haikufanyika kwa ufasaha au kuna negligence kwa namna fulani.
Sasa mtu anainstall application , amends field masaa mawili , anaona mfumo unaweza kufanya kazi non stop through out the day , alafu kila siku wanafanya maboresho , badala ya kufanya maboresho ya msingi wanajifanya kuziba masikio....!!
 
Wewe ni mzalendo ila kwa bahati mbaya hawatakusikiliza sababu lengo la serikali yetu si ufanisi wa kazi bali kumaliza kazi, data zingine wataenda kuzipika na kuzichekecha wenyewe huko. Umeeleza kwa namna ambayo hata sisi ambao hatuko huko tumeelewa na tumezielewa changamoto na hakika si za kupuuza. Kama mtu yuko familiar na mambo ya data atamuelewa vizuri mleta uzi.

Lengo la teknolojia ni kurahisisha kazi, iweje hili liwe gumu huko? Hilo li application wamelitoa wapi, wao walipolifanyia mazoezi hawakuona hizo errors? Hawana consultant mwenye uzoefu na mambo ya data? Serikali inaweza kupoteza pesa nyingi sababu ya uzembe wa watu kama hawa waliopewa jukumu la kusimamia zoezi zima.
Mtu mpak unajiuliza zoez nyeti kama hili , inashindikanaje kufanya maboresho au hao ma IT hawana ujuzi wwte , yaan hata wakufunzi wengi vuchwani weupe kabisa , ukiuliza swali anakasrika , bla bla kibao mtu ale posho yake ya ukufunzi apote hv
 
Habarini wakuu , game la Simba na Yanga limeisha , hongera Kwa Yanga na Kwa Simba jipangeni upya bado game zipo na maisha lazima yaendelee .......

Nianze Kwa kutoa kisa , wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa ...!! Waliokuwa kwenye battle zone Walitoa taarifa kuhusu Hali ya mapigano , intensity , wapi palipopungua , silaha gani miyeyusho na silaha za namna gani ziboreshwe , haya maoni ni katika idara zote za kijeshi kuanzia jeshi la ardhini ( marine) jeshi la majini (US navy) , na jeshi la anga (Airforce) , Marekani ilianza vita kama underdog Ila ikamaliza ikiwa superior and most feard nation....
Don't expect your opinion to be taken care of I surely tell you. This is very stupid nation ever seen bro.
 
Mimi nishajiandaaa kupika data mwanzo mwisho nichukue changu nisepe full stop

Uzalendo wabaki nao wenyewe kwenye viyoyozi huko.....
Please don't say that !!! Your positive performance is very crucial !!!
 
Habarini wakuu , game la Simba na Yanga limeisha , hongera Kwa Yanga na Kwa Simba jipangeni upya bado game zipo na maisha lazima yaendelee.

Nianze Kwa kutoa kisa , wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa ...!! Waliokuwa kwenye battle zone Walitoa taarifa kuhusu Hali ya mapigano , intensity , wapi palipopungua , silaha gani miyeyusho na silaha za namna gani ziboreshwe , haya maoni ni katika idara zote za kijeshi kuanzia jeshi la ardhini ( marine) jeshi la majini (US navy) , na jeshi la anga (Airforce) , Marekani ilianza vita kama underdog Ila ikamaliza ikiwa superior and most feard nation.

Aliyeko front anajua exactly the horror of war...!! Kutomsikiliza Kwa sababu iwayo yoyte ile ili ni kuhalalishwa kushindwa.

Back to the topic , Mimi ni karani wa Sensa , katika mchakato mzima wa zoezi hili karani ndo mtu wa mhimu zaidi kuliko wote , yeye ndo anashuhudia Kwa usahihi what is real going on na kipi ni sahihi na wapi pa kurekebisha ,

Nipongeze serikali Kwa kuja na idea Bora zaidi ya kuendesha zoezi hili na Kwa kweli likifanikiwa hata Kwa 80% serikali itakuwa imekula bingo , aliyeleta mchakato Kwa idea hii nampa salute ,

Hata hvyo mchakato ni costful , Kwa haraka more than 600tsh billion zitaperish away kwenye huu mchakato , hela nyingi Kwa nchi hii ya kimaskini ...

In reality zoezi ni gumu hasa , linahtaji angalau semi skilled workers with high commitment , Viongozi wa ngazi za juu wamehamasisha Kwa nguvu zote huku mzigo mzito akiangushiwa karani , ...

Kwa maoni yangu makarani wengi mbali na kufanya kazi ya kuchosha bado Wana moyo wa kufanya na mwitikio ni mkubwa , tatizo ni matumizi ya software ya CS entry kwenye tablet , hii ni changamoto kubwa sana

Baada ya kufanya mazoezi changamoto hii imeonekana kuwa ni deadliest na itaharibu mchakato mzima kama haitafanyiwa kazi , nasema haya Kwa moyo wa kizalendo kabisa , makarani tulileta taarifa na tatizo kubwa karbu Kwa makarani wote ni hii software hasa matumizi ya ramani na uwepo wa GPS.

Imagine karani umetembea Kwa moyo mmoja mpak kwenye Kaya fulan mlimani , umefika unammkuta mama anafua akakupokea Kwa moyo mmoja akaacha kazi yake, ukatazama ramani ukajihakikisha GPS inasoma kwenye ramani , ukafungua dodoso la Kwanza , akaanza kukupa taarifa za waliolala kwenye Kaya ambao ni 12 , takriban masaa mawili umekaa naye akikupa taarifa , umemaliza unatafuta majira unapata , unasave unajikuta imesave nje ya ramani , .....!! Kwa mjibu wa Sensa hyo kazi yote inakuwa ni useless ,unatakiwa uende Kwa msimamizi ufute kazi yote akutumie mchakato upya na uende tena kwenye Kaya hyo uanze mahojiano upya ,

Cahangamoto zaidi inakuja kama Kwa sku nzima umehoji kaya 10 , na kaya 9 zote majira nukta (GPS ) yamesoma ndani ya ramani na moja imesave nje ya ramani Kwa mfumo wao wa software , hzo kazi zote zinakuwa invalid inabdi ufute kazi zote uwekewe kazi upya na uende ukarudie mahojiano upya kwenye Kaya zote , na endapo itatokea the same scenario , itabd ufute tena uanze upya .. ni kazi ngumu na ya kuchosha hasa kipindi hiki cha kiangazi , na kimbembe ni kuwa maeneo mengi karani ni mmoja Kwa kila kitongoji , ni mzigo mzito sana...ni uzalendo tuu utakaofanikisha hili zoez and not otherwise

Nawaambia live hakuna karani atakubali kufanya such kind of fucking process , tegemeeni data za kupikwa na zoezi Zima litapoteza maana ...

Tulileta mrejesho tukiwa na option Bora za kuboresha mana lengo ni kufanikisha , nikashangaa IT wa wilaya anajibu shit bila kujua Kwa undani hyo critical condition huku akitutisha makarani , ....

Kwa Sisi ambao tuko kwenye battle field tukawaambia wakubwa wetu kuwa huko juu ma IT wa Taifa wakeshe kuhakikisha wanaboresha hyo application ili iwe na option zifuatazo :-

1. Wakati ninahoji Kaya basi kuwe na signal kwenye tablet kama dot hvi au whatever yenye rangi ya kijani ili kuni-alert kuwa GPS inasoma ndani ya 3 meters kutoka pale nilipo...na kama sivyo ionyeshe rangi nyekundu kunitahadharisha kuwa GPS inasoma wrong place hvyo nifanye mchakato wa kuiweka Sawa

2. Option ya pili , in case ikatokea Kaya moja nimesave nje ya ramani , na Kaya zingine let say Kaya 10 zimesave ndani ya ramani basi kuwe na option ya kuiweka pending hyo Kaya moja , ili zingine niweze kuzituma alaf iliyozingua hyo moja ndo nirud badala ya kuzifuta zote na kuanza upya ....

Cha Kushangaza IT alisema tusitegemee option za namna hzo Bali tuongeze umakini,
Changamoto iliyopo ili GPS isome mahali uliopo unahtaji ufate step zaidi ya tano , hapo bado accuracy yake ni 70 % bado lolote laweza kutokea , na pia ni ngumu kufanya kazi kuanzia asubh mpak jioni ukafanya Kwa usahihi , kuna kujisahau ukapata error hyo , Yani hakuna option ya kurekebisha hyo moja, bali data zote zinakuwa nullified ....

Kama Hali ikiendelea hv , nini makarani wataenda kufanya , nimeenda let say Kaya X , nimehoji nikaambiwa wanakaya wamelalal 13 , nikajikunja kizalendo karbu hata masaa 2 au 3 kupata data Kwa usahihi , zen ikasave nje ya Raman , kurud tena Kwa mwanakwaya Yule umuachishe tena kazi yake ni bonge la nouma , nitakachokifanya nafuta hyo kazi sahihi , badala yake naenda kwenye hyo kaya nasimamia nje getini , napika data , ili nisichoke najiandikia watu 2 wamelala pale , ili nisave nitoke , na hzo tayar zinakuwa data ambazo ni invalid ...

Na hii kwenye mazoez watu wamefanya Sana , dada mmoja kahoji Kaya ya Kwanza ikasoma ndani ya ramani , nakahoji ya pili ikasoma nje , ikabd afute msimamizi amwekee kazi na Raman upya , akahoji tena moja ikakubali nyingine ikasoma nje , dada alitaman kulia , akaenda Kwa msimamiz akafutiwa kazi na kuweka ramani upya , dada alichokifanya akaenda sehemu akapika data , zikasoma ndani ya ramani akaleta Kwa msimamizi akapokea akatuma makao makuu data ambazo ni invalid ....

Mlioko juu jitahdini hili tatizo mlitatue , la sivyo huko kwenye viyoyozi , hao viongozi walioko huku wanawadanganya kuwa zoezi lipo poa but in reality ,ni disaster inaenda kutokea .....
View attachment 2323556
Bahati mbaya sana viongozi wa nchi yetu hii ukisema ukweli unaonekana wewe sio mzalendo na utapewa majina yote mabaya ya nini sasa kufika huko kooteee ni bora liendee tu..
 
K
Sasa mtu anainstall application , amends field masaa mawili , anaona mfumo unaweza kufanya kazi non stop through out the day , alafu kila siku wanafanya maboresho , badala ya kufanya maboresho ya msingi wanajifanya kuziba masikio....!!
Kwangu mmeshaamza kuhesabu??
 
Back
Top Bottom