Hapo zamani kabla ya ugunduzi wa dawa za maiti za kuchelewesha kuoza na kukata shombo la kuoza, watu walikuwa wanazikwa kawaida.
Hii dawa huwa ina kemikali nyingi sana ili kufanya maiti isioze haraka.
Ni vema kukubaliana na uumbaji kwamba kwa jinsi tulivyoumbwa kwamba mtu akifa anaanza kuoza...
Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.
Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba"
Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu.
Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
Ushauri kwa walio karibu nae ni kwamba ikiwapendezeni watamtafutie Kwanza Daktari wa Magonjwa ya Akili kabla hajaanza Ratiba yake ya Kuzunguka nchi nzima Kupambana Kisera na Dada yake wa Hiari.
Anapayuka hovyo, anajichanganya mno Kimaelezo, hajui aanze na kipi tokea arejee na ameanza kuwa...
Wanawake ni viumbe wanaopenda kufanya udadisi hasa linapokuja suala la mahusiano. Hii ni kwasasabu wanawake hawaridhiki mpaka wapate kile wanachokitaka, kabla hawajakipata hicho kitu mawazo yao na hisia zao muda mwingi zinakua juu ya hicho kitu. Kumfanya mwanamke awe mtafiti kwako ni moja ya...
Hello JF
Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali.
Ni hatari sana ni hatari sana...
Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.
Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?
Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.
Shule ni amri kama ilivyo kwa...
Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati
Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) na wizara ya nishati (Ministry of Energy).
Wizara ya...
Mdogo wangu amekwama stend ya magu (Mbezi)akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji wa kufika kusini leo hii na ni mgeni sana anaogopa kwenda kijichi (mfukoni pia kabakiwa na 40k).
Mbadala wake nimemwambia abeti kwa tashrif ya kutoka...
Amani iwe nanyi,
Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana
Doctors naombeni msaada wenu.
Nilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana.
Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa hicho kijamaa kwenye picha ndo changamoto inabidi kubadili.
Naomba kujua bei zake Kwa wenye...
Malalamiko yamezidi sana kuhusu ugumu wa uchumi, mikopo, na mdororo wa viongozi wenye akili mufilisi, kama ccm wanaogopa katiba mpya na mihadhara ya kisiasa, ni wakati mzuri tutumia fursa ya Utawala Biden tuombe kibali Cha kuungana na Marekani tuwe Jimbo jipya la Marekani, tuutumie uzoefu huu wa...
Wakuu habari zenu
Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu)
Muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki...
Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi mapema jana.
Katika onyo hilo Sergei Lavrov ameitaka Ukraine kuyatambua majimbo mapya ya...
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕
Itatupunguzia haya
Kitaifa tutatulia...
CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi.
Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao:
- Janga namba moja kuu...
Mwaka 2017, mtafiti wa mambo ya usingizi Dr. Tomath Roth aligundua kuwa tatizo la kukosa usingizi wa kutosha (Insomnia) linaweza kuathiri kiasi cha theluthi moja ya watu wote duniani katika muda fulani.
Ni kweli kuwa baadhi ya watu huwa hawapati kabisa usingizi?
Kutokana na kuugua tatizo la...
Habari ya muda huu wakuu wa JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo
DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis]
kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.