Nahitaji mkopo wa haraka

westandtogether

Senior Member
Jul 8, 2020
153
229
Habari wakuu?

Wadau poleni na ujenz wa kujenga taifa hili, nakuja mbele yenu kuomba msaada kwa yeyote anaefahamu wap ntapata mkopo wa dharula kiasi Cha Tshs. Milioni mbili(2,000,000/=) kwa dhamana ya kiwanja changu chenye ukubwa was ekari moja kipo maeneo ya Mwasonga (Kigamboni).

Kama utakuwa na taarifa zaidi au lengo la kufanya biashara hii naomba unitafute kwa namba 0683263330..ahsante
 
Habari wakuu?
Wadau poleni na ujenz wa kujenga taifa hili, nakuja mbele yenu kuomba msaada kwa yeyote anaefahamu wap ntapata mkopo wa dharula kiasi Cha Tshs. Milioni mbili(2,000,000/=) kwa dhamana ya kiwanja changu chenye ukubwa was ekari moja kipo maeneo ya mwasonga (kigamboni).
Kama utakuwa na taarifa zaidi au lengo la kufanya biashara hii naomba unitafute kwa namba 0683263330.. ahsante

Unarejesha baada ya muda gani?
Mwisho was mwezi wa September mkuu.
 
Mambo ya mikopo mtu akitaka anakuwa mnyonge akipata tu anaanza kuua watu kama ndugu mara mtoto anaumwa mi nilimkopesha mtu laki mbili tu ila alinisumbua.
 
Mambo ya mikopo mtu akitaka anakuwa mnyonge akipata tu anaanza kuua watu kama ndugu mara mtoto anaumwa mi nilimkopesha mtu laki mbili tu ila alinisumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom