hana

  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mniwie radhi nilikosea kusupport ujio mpya wa Paul Makonda, huyu jamaa ni Lopolopo sana hana staha

    Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh. Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu. Makonda anaweza...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

    Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma. Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina (...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Makonda hana jipya, amekuja tu kuvuruga CCM, Serikali na vyombo vya dola. Anapita tu!

    Siku chache sana baada ya Paul Makonda kuteuliwa kushika cheo cha Katibu mwenezi na itikadi wa CCM, cheche za siasa zake za toka zamani zimeanza kuonekana. Makonda ameanza kwa mikwara ya matamko ya vitisho, kebehi na amri za ajabu ajabu kwa watu mbali mbali na taasisi mbali mbali. Kwa watu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Messi hana damu ya kihaya kweli?

  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usafiri mpya wa Makonda si lelemama!

    Dalili zi wazi, Makonda nguvu yake kwa Samia ni kubwa. Ushahidi ni hilo gari ( LC 300 ) alilopewa ambalo hata Chongolo hana!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

    Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani. Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambapo Mungu ni kwaajili ya viongozi; hata watende ubaya gani utasikia Mungu ameamua. Masikini mwovu hana Mungu, ni mali ya jela

    Kati ya jambo ambalo sitadhubutu kumuhusisha Mungu nikatika ukatili wa kiongozi dhidi ya anaowaongoza. Naamini hakuna Mungu wa viongozi waovu bali Mungu ni wa wenye haki. Naamini haki ya kuishi Ben Sanane na wengine wengi ni haki ya kila mmoja na Mungu hakuwahi kuamua vinginevyo. Naamini haki ya...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Simba hana namna lazima ashinde kesho au sare ya 3-3 ndio asonge mbele

    Simba kesho inabidi ashinde au vinginevyo atoe sare ya mabao 3-3 ndio aweze kufuzu kucheza nusu fainali. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya goli la ugenini kuhesabiwa mawili pale magoli yanapokuwa sawa baada ya mechi mbili kumalizika. --- Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Markuba Majanaba Hana hamu na jela

    Mwamba alifanya soo kitaa akapelekwa jela KISONGO wakampiga para. Hana hamu na jela Tena. NB: jela haina mbabe kama wahuni wametambaa na mwamba Sura ya kazi sembuse vijana wanaoshinda kwenye AC wanaendesha Dualis sijui IST? NB: Tii sheria bila shuruti.
  10. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

    Mama shikamoo! Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana. Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana. Mfano VPN ni njia pekee katika cyber...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko anakosa mshauri wa kisiasa. Hana muda na Wizara ya Nishati, muda mwingi anatumia kujitangaza mikoani na ameanza kupoteza mvuto jukwaani

    Waziri Biteko ni kama ameshindwa kuelewa waliomteua wanataka nini kwake. Je, wanataka umeme au wanataka azunguke kufanya siasa za uchaguzi? Amekimbizana na majukwaa mfululizo toka alipoteuliwa hadi sasa Vision yake kwenye wizara imemezwa na malengo ya kisiasa yaliyo mbele yake kuliko malengo...
  12. cold water

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

    Habari wadau. Video inajieleza vizuri
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni msafi kisiasa; Hana kashfa ya rushwa; anaaminika zaidi na wananchi/dola. Je, tupo tayari kuona mafisadi wanamstafisha?

    1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi. 2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali. 3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ni Hakimi mtarajiwa. Anasema hana nyumba, anaishi kwenye nyumba za mamake

    Ali Kiba amejipanga vilivyo kupambana na akina dada wajasiliamali wa mapenzi. Wanaopenda kuchuma vya ubwete kupitia mapenzi uchwara.
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu. Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani. Na haileweki...
  17. blogger

    JamiiForums Tanzania Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

    Unamuuliza hakujibu, Shida nini hakujibu Umekosea wapi!? Hakujibu Yani yupo kama yupo tu!? Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu. Unamaliza , yupo tuu.. Yani yupo tu. Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki. Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
  18. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Putin hana mshirika; Korea Kaskazini ni rahisi kutokea vikundi vya kuipinga Serikali kukitokea vita na nchi za Magharibi

    Ushirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka. Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa wawananchi wake, maisha mazuri yapo kwa watu wachache sana Korea Kaskazini, Raia hawamtaki Kim, yupo...
  19. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Anampenda baba yake mzazi kimapenzi mpaka anamuonea wivu mama yake!

    Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi. Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia. Muda ulikwenda na...
  20. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ndugu yako yupo kijijini, na hana fani, hana elimu, we mwambie ukweli tu

    Huku mjini ni kugumu sanaa wazee, sio kuzuri kuja pekupeku aisee, utahaibika 😂😂😂😂
Back
Top Bottom