Kuna kisa cha wayunani cha kale kuwa kulitokea ubishi nani awe kiongozi wa siku. Wayunani walikuwa wanachagua kiongozi kila siku. Mtu anatawala siku ikipita anachaguliwa mwingine. Mtu hachaguliwi tena mpaka wengine wote wachaguliwe. Ikafika muda walioanza kuchaguliwa wakajihoji: hivi mpaka zamu...
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:
Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake.
1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT
3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe.
4. Sio kila mtu ana AKILI kama...
Na. M. M. Mwanakijiji
Naomba kupendekeza kuwa huyu kijana apewe rasmi hati ya kusafiria ya Kibalozi (Diplomatic Passport). Nimekuwa nikifuatilia jinsi anavyoshirikiana na wasanii wengine ndani na nje ya nchi lakini pia jinsi gani anakubalika katika sehemu mbalimbali za Afrika. Nimefuatilia kwa...
Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua.
Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa.
=====
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
Watu wanasema suala la haki ya dhamana ni suala la katiba, hapana, mie napinga kwa nguvu zote kwamba hili ni suala serikali inapaswa kulishughulikia mara moja kwa sababu lina ukosefu mkubwa wa haki za binadamu na uonevu kwa wananchi.
Suala la kuwa na makosa ambayo eti hayana dhamana ni uonevu...
Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.
Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.
Chadema kwa...
Katika hali isiyo ya kawaida amezaliwa mtoto wa kiume ambaye hana miguu yote miwili na mkono mmoja wa kuume.
Mama alijifungulia nyumbani na kumleta katika kituo cha kutolea huduma za AFYA kwa msaada zaidi lakini mganga mfawidhi alijitahidi kuiwasilisha ofisi ya mganga mkuu wa Wilaya ili mama...
Hapo Picha inajieleza, maneno mengi sitaki
wakati serikali inayo ongozwa na ma-profesa na ma phd holders ikiprove failure, na huku vituko vikizidi kila uchao, Harisson Mwakyembe ambaye wakati mmoja aliwahi kumshauri JIWE kwamba waifanye TLS (Chama Cha Wanasheria Wa Tanganyika) iwe SACCOS na...
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria...
'MIA TISA ITAPENDEZA' SASA AGEUKA KUWA 'CHOKORAA' : Dokta Luois Shika maarufu hapa nchini kwa Jina la '900 Itapendeza' alipozungumza kwa uchungu na huzuni kuhusu maisha anayoishi sasa.
Dokta Shika alijizolewa umaarufu mkubwa lakini katika maisha yake binafsi amekuwa na panda shuka nyingi huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.